Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
That will be yet another political blunder. Even the SA apartheid regime outlawed ANC but the regime’s strategy turned out to be a failure!Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Wanaweza kuifuta cdm kwa sababu uwezo wa ccm kupambana na cdm haupo, na hautakaa uwepo tena. Tatizo ni kuwa nguvu ya cdm ipo ndani ya wananchi na sio kwenye chama kilichoandikishwa kwa msajili. Mfano mrahisi, cdm waligoma kushiriki uchaguzi, na uchaguzi ukawa na wapiga kura wachache ajabu.Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Hata ikifutwa CHADEMA , na mawazo ya ukosoaji na utendaji mbaya wa serikali utafutwa?Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Kama ww ni mkweli, tazama ama sikiliza maoni kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo na mitandao ya kijamii, jaribu kusikiliza kama wananchi wanakubaliana na ripoti ya mzee Chande, hapo ndio utajua wakati ukuta. Kinachofanyws kutaka kuifuta cdm ni ukweli wa jinsi gani sasa cdm ni dhahiri ndio chama. chenye matumaini ya wananchi. Rejea ANC huko kusini walichofanyiwa na makaburu, lakini ukweli ulidhihiri.Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Duh 🙄 !Hata ikifutwa CHADEMA , na mawazo ya ukosoaji na utendaji mbaya wa serikali utafutwa?
Pengine wawafute wananchi ki-Oktoba29!
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Kwamba Wanasemaga ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya !Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
October tunatiki maana yake ni NGUVU; mpende msipende ndivyo itakavyo kuwa. Kwa mtazamo wangu ni mbaya kuliko nrne;maana ndivyo ilivyotokea.He, kuna MTU anaweza kuifuta ccm?Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Hizi kauli hamkuanza leo kuzitoa.That' ll be a grave mistake!.
Mbwa mamako malaya mbovu wewe.Ifutwe kabisa.
shenzi kabisa mbwa CHADEMA
Kabla hilo halijatokea sharti ccm ijifute yenyewe kwanzaMwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.