BAADA YA RIPOTI YA CHANDE, UPO UWEZEKANO WA CHADEMA KUFUTWA.

BAADA YA RIPOTI YA CHANDE, UPO UWEZEKANO WA CHADEMA KUFUTWA.

ACHA ujinga aliyekataa kufanya reforms reforms ndo atadondoshewa zigo
 
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.

Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.

Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.

Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.

Report ya Samia,na kashaifungia kabatini,kasema asipewe mtu ! Sasa chadema kifutwe kwa report tu ya mtu?
 
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.

Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.

Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.

Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.

Ushahidi wa moja kwa moja kusababisha kuifuta Chadema haupo, kwa mujibu wa ripoti ya Chande inaonekana wazi CCM,CHADEMA na wananchi wa kawaida walikuwemo kwenye maandamano rejea wabunge na madiwani waliokatwa majina walichochea pia. Hii kitu ni kilio cha Taifa zima kutokana na sababu au vyanzo 5 vya maandamo. mzizi uko hapo.
 
Huwezi kuzima Ideology kwa kufuta chama,labda uue na hao watu wanao amini kwenye hyo ideology..maana wataendelea tu kukusumbua hata baada ya kulifuta jukwaa husika..
 
Si

Hoja ninayoona itatumiwa ni kuwa hakuna aliyejuu ya sheria. Kama tume ya uchunguzi itakayoundwa itasema CHADEMA ndio waliopanga, walioratibu na kufadhili machafuko hakuna namna kitanusurika.
Chama ni Taasisi na ina watu sasa kama ni kupeleleka mahakamani ni induvidual persons siyo wanachama wote kuadhibiwa hii ni sawa ilivyokuwa ya kufuta Kanisa la la Gwajima ilivyobuma badala ya kumkamata Gwajima kama mhalifu. Maamuzi ya umakini na haki yanahitajika sana kwa sasa siyo muhemko ili kuitoa nchi kwenye machafuko na mpasuko zaidi.
 
Tatizo ni kuwa nguvu ya cdm ipo ndani ya wananchi na sio kwenye chama kilichoandikishwa kwa msajili.
Mkuu hayo ni maneno tu, hata Yerico Nyrerere na Mbowe walikua wanasema hivyo hiyvo. Chadema ikufutwa ndio basi tena.
 
Chadema kifutwe mara moja!! Na viongozi walioratibu vurugu wafungwe na wengine wanyongwe. Watu 518 kufa ni wengi sana.
 
Mkuu hayo ni maneno tu, hata Yerico Nyrerere na Mbowe walikua wanasema hivyo hiyvo. Chadema ikufutwa ndio basi tena.
Hata cdm ifutwe, ni wazi umma umeshabadilika. Hiyo ccm itatolewa na hao hao wananchi. Si juzi cdm wamegoma kushiriki uchaguzi wa kihuni, na bado hawakwenda kujazana kunipigia kura ccm. Halafu kuhusu kufutwa, hata ANC ilifutwa, kwahiyo usitie shaka kabisa na hiyo issue ya kufutwa.
 
Chadema ni kama spika tu. Inafikisha sauti za wananchi wanaopinga huu utawala. Jaribio lolote la kuifuta ni jaribio la kuruhusu mashambili kila upande.

No offence ila hizi ni akili za Kizanzibar pure kabisa.
 
Wanaweza kuifuta cdm kwa sababu uwezo wa ccm kupambana na cdm haupo, na hautakaa uwepo tena. Tatizo ni kuwa nguvu ya cdm ipo ndani ya wananchi na sio kwenye chama kilichoandikishwa kwa msajili. Mfano mrahisi, cdm waligoma kushiriki uchaguzi, na uchaguzi ukawa na wapiga kura wachache ajabu.

Hakuna kitu kigumu kama kushindana na wakati. Inaonekana ccm wameshinda kuukubali ukweli huu, lakini ni ukweli utakaowaumiza maana umma haupo upande wao tena.
Kwanza kama mambo yatakuwa hivi binafsi katika uchaguzi ujao ntaenda kulifuta jina langu kwenye daftari la wapiga kura mpaka hapo hali itakapokuwa nzuri ndio ntajiandikisha tena mana unaweza usiende kupiga kura lakini jina lako likapigishwa kura!
 
Back
Top Bottom