BAADA YA RIPOTI YA CHANDE, UPO UWEZEKANO WA CHADEMA KUFUTWA.

Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.

Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.

Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.

Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.

Screenshot_20260424-122929~2.png
 
WANANCHI WA HIKI KIZAZI KIPYA CHA LEO SIO WAJINGA

ukitaka kujua soma tu hata comments zao katika kurasa za mitandao ya kijamii...inafikia mpaka majizi mafisadi na wauwaji ...wanafunga kurasa zao kupokea maoni ya wananchi .
 
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.

Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.

Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.

Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.

Chadema ni mpango wa Mungu waovu hawataweza kuifuta.
 
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.

Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.

Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.

Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.

Toa hilo jina la Dr hapo bro maana unaaibisha hiyo title. Yaani uongo wa tume ndio uifute cdm? Tume inasema uongo wa wazi, bado unaamini iko serious? Tume inasema kulikuwa na makambi wanapewa mafunzo, lakini hakuna mkuu wa wilaya mkoa, ocd wala Rpc aliyewajibishwa kwa kushindwa kutekeleza wajibu wa ulinzi. Mikoa watu walipouwawa ni mingi, lakini wametaja michache kutokana maagizo waliyopewa. Na Bado unaamini hiyo ni tume serious?!

Yaani kabisa majaji wakuu wawili wastaafu wanatumiwa kama wajinga, na wanakubali kushusha heshima zao! Etii waandamanaji wa Dar walikuwa na mishale na mikuki, Dar hapa mtu abebe mkuki na upinde? Mbona hakuna picha watu wakiwa na mikuki, wala upinde, zaidi ya picha za watu wakibeba mitungi ya gas, nguo na simu? Halafu eti kuna kijana alipewa 50,000 ili aandamane, kisha akaenda kutoa ushahidi bila kukamatwa kama muhalifu, wakati kuna wengine hadi leo wako magereza kwa kushukiwa kwenye maandamano yale. Kila mtu binafsi aliyehojiwa kuhusu biashara yake anasema ana mkopo, ila hakuna aliyetoa ushahidi wa mkopo ni wa bank gani. Ni kama waandamanaji waliambiana waibe kwa wenye mikopo tu. Hata kama una mahaba kuna mambo inabidi uone aibu kama msomi.
 
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.

Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.

Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.

Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.

Na lilivyo tikiti maji linaweza kupokea ushauri huo!
 
Si
Kama ww ni mkweli, tazama ama sikiliza maoni kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo na mitandao ya kijamii, jaribu kusikiliza kama wananchi wanakubaliana na ripoti ya mzee Chande, hapo ndio utajua wakati ukuta. Kinachofanyws kutaka kuifuta cdm ni ukweli wa jinsi gani sasa cdm ni dhahiri ndio chama. chenye matumaini ya wananchi. Rejea ANC huko kusini walichofanyiwa na makaburu, lakini ukweli ulidhihiri.
Hoja ninayoona itatumiwa ni kuwa hakuna aliyejuu ya sheria. Kama tume ya uchunguzi itakayoundwa itasema CHADEMA ndio waliopanga, walioratibu na kufadhili machafuko hakuna namna kitanusurika.
 
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.

Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.

Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.

Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.

CHADEMA ndo iliua watu 518?
 
Si

Hoja ninayoona itatumiwa ni kuwa hakuna aliyejuu ya sheria. Kama tume ya uchunguzi itakayoundwa itasema CHADEMA ndio waliopanga, walioratibu na kufadhili machafuko hakuna namna kitanusurika.
Yaani wala wasisubiri hayo maigizo ya kisheria, maana lengo lote cdm ndio target, lakini tayari umma umeshabadilika.
 
Tume feki
Report feki
Maanuzi feki.
Watanganyika wanataka Taifa lao, kuifuta CDM si suruhu ya Watanganyika kusahau kudai haki zao.
Naona wanahangaika sana kama mtetea na yai la kwanza.
 
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Why CHADEMAna sio CCM, au
Why CHADEMAna sio CHAUMA, au
Why CHADEMAna sio CUF??
 
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.

Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.

Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.

Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.

Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.

Hongera kwa kutokuwa na akili
 
Back
Top Bottom