Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Chadema ni mpango wa Mungu waovu hawataweza kuifuta.Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Unaliwa kipenyo... Haitakaa ifutwe cdm ni zaidi ya chama cha siasa.Ifutwe kabisa.
shenzi kabisa mbwa CHADEMA
Toa hilo jina la Dr hapo bro maana unaaibisha hiyo title. Yaani uongo wa tume ndio uifute cdm? Tume inasema uongo wa wazi, bado unaamini iko serious? Tume inasema kulikuwa na makambi wanapewa mafunzo, lakini hakuna mkuu wa wilaya mkoa, ocd wala Rpc aliyewajibishwa kwa kushindwa kutekeleza wajibu wa ulinzi. Mikoa watu walipouwawa ni mingi, lakini wametaja michache kutokana maagizo waliyopewa. Na Bado unaamini hiyo ni tume serious?!Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Mnaiogopa kwasababu hamna uwezo wa kushindana nao. Huo ndio ukweli nguvu zenu ziko kuwatumia hawa mbwa wa kipoliccm.Ifutwe kabisa.
shenzi kabisa mbwa CHADEMA
Na lilivyo tikiti maji linaweza kupokea ushauri huo!Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Hoja ninayoona itatumiwa ni kuwa hakuna aliyejuu ya sheria. Kama tume ya uchunguzi itakayoundwa itasema CHADEMA ndio waliopanga, walioratibu na kufadhili machafuko hakuna namna kitanusurika.Kama ww ni mkweli, tazama ama sikiliza maoni kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo na mitandao ya kijamii, jaribu kusikiliza kama wananchi wanakubaliana na ripoti ya mzee Chande, hapo ndio utajua wakati ukuta. Kinachofanyws kutaka kuifuta cdm ni ukweli wa jinsi gani sasa cdm ni dhahiri ndio chama. chenye matumaini ya wananchi. Rejea ANC huko kusini walichofanyiwa na makaburu, lakini ukweli ulidhihiri.
Baada ya siku 40 za kazi takukumbusha hii post yakoUnaliwa kipenyo... Haitakaa ifutwe cdm ni zaidi ya chama cha siasa.
CHADEMA ndo iliua watu 518?Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Sure indeedThat will be yet another political blunder. Even the SA apartheid regime outlawed ANC but the regime’s strategy turned out to be a failure!
Vyama vipo, vinapotea na kuundwa upya! Ila jaribio lolote la kuiua CDM litaondoka na ccm pia!Baada ya siku 40 za kazi takukumbusha hii post yako
Hilo ndio swali litakalojibiwa na tume ya uchunguzi wa makosa ya jinai iliyopendekezwa kuundwa.CHADEMA ndo iliua watu 518?
Matumizi mabaya ya fedha za wananchi!Hilo ndio swali litakalojibiwa na tume ya uchunguzi wa makosa ya jinai iliyopendekezwa kuundwa.
Yaani wala wasisubiri hayo maigizo ya kisheria, maana lengo lote cdm ndio target, lakini tayari umma umeshabadilika.Si
Hoja ninayoona itatumiwa ni kuwa hakuna aliyejuu ya sheria. Kama tume ya uchunguzi itakayoundwa itasema CHADEMA ndio waliopanga, walioratibu na kufadhili machafuko hakuna namna kitanusurika.
Why CHADEMAna sio CCM, auWasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Hongera kwa kutokuwa na akiliMwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.