Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Technically CHADEMA tushaimaliza tangu mwanzoni mwa 2015 .Vyama vipo, vinapotea na kuundwa upya! Ila jaribio lolote la kuiua CDM litaondoka na ccm pia!
Utachokonolewa uchafu wako ila sio cdm kufutwa.... Huge ajuza atarudi Zanzibar uchiBaada ya siku 40 za kazi takukumbusha hii post yako
Report ya Samia,na kashaifungia kabatini,kasema asipewe mtu ! Sasa chadema kifutwe kwa report tu ya mtu?Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Tujipe muda, only time will tell.Report ya Samia,na kashaifungia kabatini,kasema asipewe mtu ! Sasa chadema kifutwe kwa report tu ya mtu?
Tujipe muda! Ni muda ndio utakao amua kati ya mm na ww nani hana akili.Hongera kwa kutokuwa na akili
Ushahidi wa moja kwa moja kusababisha kuifuta Chadema haupo, kwa mujibu wa ripoti ya Chande inaonekana wazi CCM,CHADEMA na wananchi wa kawaida walikuwemo kwenye maandamano rejea wabunge na madiwani waliokatwa majina walichochea pia. Hii kitu ni kilio cha Taifa zima kutokana na sababu au vyanzo 5 vya maandamo. mzizi uko hapo.Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.
Chama ni Taasisi na ina watu sasa kama ni kupeleleka mahakamani ni induvidual persons siyo wanachama wote kuadhibiwa hii ni sawa ilivyokuwa ya kufuta Kanisa la la Gwajima ilivyobuma badala ya kumkamata Gwajima kama mhalifu. Maamuzi ya umakini na haki yanahitajika sana kwa sasa siyo muhemko ili kuitoa nchi kwenye machafuko na mpasuko zaidi.Si
Hoja ninayoona itatumiwa ni kuwa hakuna aliyejuu ya sheria. Kama tume ya uchunguzi itakayoundwa itasema CHADEMA ndio waliopanga, walioratibu na kufadhili machafuko hakuna namna kitanusurika.
Mkuu hayo ni maneno tu, hata Yerico Nyrerere na Mbowe walikua wanasema hivyo hiyvo. Chadema ikufutwa ndio basi tena.Tatizo ni kuwa nguvu ya cdm ipo ndani ya wananchi na sio kwenye chama kilichoandikishwa kwa msajili.
Hata cdm ifutwe, ni wazi umma umeshabadilika. Hiyo ccm itatolewa na hao hao wananchi. Si juzi cdm wamegoma kushiriki uchaguzi wa kihuni, na bado hawakwenda kujazana kunipigia kura ccm. Halafu kuhusu kufutwa, hata ANC ilifutwa, kwahiyo usitie shaka kabisa na hiyo issue ya kufutwa.Mkuu hayo ni maneno tu, hata Yerico Nyrerere na Mbowe walikua wanasema hivyo hiyvo. Chadema ikufutwa ndio basi tena.
Kwanza kama mambo yatakuwa hivi binafsi katika uchaguzi ujao ntaenda kulifuta jina langu kwenye daftari la wapiga kura mpaka hapo hali itakapokuwa nzuri ndio ntajiandikisha tena mana unaweza usiende kupiga kura lakini jina lako likapigishwa kura!Wanaweza kuifuta cdm kwa sababu uwezo wa ccm kupambana na cdm haupo, na hautakaa uwepo tena. Tatizo ni kuwa nguvu ya cdm ipo ndani ya wananchi na sio kwenye chama kilichoandikishwa kwa msajili. Mfano mrahisi, cdm waligoma kushiriki uchaguzi, na uchaguzi ukawa na wapiga kura wachache ajabu.
Hakuna kitu kigumu kama kushindana na wakati. Inaonekana ccm wameshinda kuukubali ukweli huu, lakini ni ukweli utakaowaumiza maana umma haupo upande wao tena.
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.