Baada ya RPC wa Dar es Salaam kung'olewa sasa iwe zamu ya RPC wa Songwe

Mheshimiwa IGP,

Jana umepewa jukumu la kutathmini Aina ya kesi mlizonazo Kama ni za haki Kama sio mzifute.
Kikatiba, mwenye jukumu la kuamua kesi kama ni ya haki au la, ni mahakama.

She ain't fit for nothing.
 
Kikatiba, mwenye jukumu la kuamua kesi kama ni ya haki au la, ni mahakama.

She ain't fit for nothing.
Hata wale ambao jiwe aliagiza wakamatwe kwa chuki tu nao unasubiri Mahakama ?
 
Hata wale ambao jiwe aliagiza wakamatwe kwa chuki tu nao unasubiri Mahakama ?
Aliyepewa jukumu kuamua kama wamekamatwa kwa chuki au la ni mahakama. Utawala wa sheria shurti uheshimiwe na kupewa nafasi.
 
Aliyepewa jukumu kuamua kama wamekamatwa kwa chuki au la ni mahakama. Utawala wa sheria shurti uheshimiwe na kupewa nafasi.
Unajua hata Nape hakujua mambo haya hadi aliponusurika kuuawa kwa bastola na yule muuaji aliyetumwa , wewe subiri zamu yako
 
Majungu wapi,wanakulitafuta wanastahili kulipata.
 
Aliyepewa jukumu kuamua kama wamekamatwa kwa chuki au la ni mahakama. Utawala wa sheria shurti uheshimiwe na kupewa nafasi.
Sheria zingekuwa zinafuatwa kwa mujibu wa katiba yetu,na Bila uwepo wa viwango tofauti ama upendeleo kwa baadhi,mfumo ungepewa nafasi Bila chembe ya shaka.
 
Sheria zingekuwa zinafuatwa kwa mujibu wa katiba yetu,na Bila uwepo wa viwango tofauti ama upendeleo kwa baadhi,mfumo ungepewa nafasi Bila chembe ya shaka.
Tunayo mihimili mitatu kikatiba, iliyo huru. Mfumo gani unaotaka upewe nafasi?!
 
Kijana chapa kazi acha majungu
 
Kikatiba, mwenye jukumu la kuamua kesi kama ni ya haki au la, ni mahakama.

She ain't fit for nothing.
Ni kweli ni mahakama, Sasa Kama miaka nane imeshindwa kuikamilisha upelelezi, mtu kafanya kosa la barabarani la kuvuka na taa nyekundu unasema kagonga na kuua? Unataka usubirie mahakama iseme wakati mnajua huyo mtu hakuua?

Vyovyote itakavyokua Kama kesi iliripotiwa kituo Cha stakishari na mkachunguza oungo na mkapeleka kesi mahakani huku mkijua ni uongo FUKUZA hao maofisa ama shusha cheo
 
You ain't fit for nothing.
 
Kumbe anashughulika na WAHALIFU, tumuache RPC wa Songwe apige kazi
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sabaya aliwanyoosha kweli kweli wahalifu, mmempiga majungu na mama kwa ulegevu wake kawasikiliza kwa amri toka Msoga
Mpaka muda huu Sabaya anamiliki Bil 3 ambazo haifahamiki alikozipata , sasa wewe kapuku unachomiliki ni ID ya JF lakini unashangilia unyama
 
Mpaka muda huu Sabaya anamiliki Bil 3 ambazo haifahamiki alikozipata , sasa wewe kapuku unachomiliki ni ID ya JF lakini unashangilia unyama
Zile bilioni kadhaa mwamba alizohamishia Dubai 2015 wewe ungejua alikozipata bila kushtuliwa kuwa yalikuwa malipo ya mgombea urais?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…