Baada ya RPC wa Dar es Salaam kung'olewa sasa iwe zamu ya RPC wa Songwe

Zile bilioni kadhaa mwamba alizohamishia Dubai 2015 wewe ungejua alikozipata bila kushtuliwa kuwa yalikuwa malipo ya mgombea urais?!
Porojo za kiwango cha chini sana ili kukimbia hoja
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya umri nilionao , RPC Kyando wa Songwe ndiye kiongozi wa Polisi katili zaidi kwa waliopo sasa nchini Tanzania , huyu si wa kuonekana sana kwenye vyombo vya habari kama RPC Murroto wa Dodoma ambaye hata akikamata chupa 2 za gongo anataka TV zote zimuonyeshe , lakini unyama waliotendewa viongozi wa upinzani wa Mkoa wa Songwe na Jeshi la Polisi chini ya huyu RPC na hasa viongozi wa Chadema , haujawahi kufanywa mahali popote duniani.

Ukatili wa RPC Kyando wa Songwe unakaribiana na ule wa Omari Mahita alipokuwa RPC wa Kilimanjaro miaka iliyopita , lakini matukio ya uhalifu wa kawaida yanashamiri huku yeye akipambana na Chadema tu , Mahusiano ya wananchi na Polisi ni sawa na sifuri sababu kuu ikiwa ni unyama wa polisi dhidi ya raia kwa mambo ya kisiasa.

Ni Muhimu sana Kiongozi huyu wa Polisi Songwe akang'olewa ili kurejesha imani ya wananchi kwa serikali yao.
Songwe na Dom kuna tatizo kubwa sn
 
You ain`t fit for nothing if you can`t even trust your wife.
That's the only thing you can say, and classical example of you is what happened in Arusha few days ago.

I am going to make sure mama sucks all of you. Mlizoea Sana kufanya ujinga ujinga pasipo kufuata PGO na Sheria za nchi mlizoapa kuzifuata. Na nakuhakikishia kabla Mwaka haujaisha RPC zaidi ya 9 na wasaidizi wao mtaingia kwenye record.
 
Ohooooo!!!
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya umri nilionao , RPC Kyando wa Songwe ndiye kiongozi wa Polisi katili zaidi kwa waliopo sasa nchini Tanzania , huyu si wa kuonekana sana kwenye vyombo vya habari kama RPC Murroto wa Dodoma ambaye hata akikamata chupa 2 za gongo anataka TV zote zimuonyeshe , lakini unyama waliotendewa viongozi wa upinzani wa Mkoa wa Songwe na Jeshi la Polisi chini ya huyu RPC na hasa viongozi wa Chadema , haujawahi kufanywa mahali popote duniani.

Ukatili wa RPC Kyando wa Songwe unakaribiana na ule wa Omari Mahita alipokuwa RPC wa Kilimanjaro miaka iliyopita , lakini matukio ya uhalifu wa kawaida yanashamiri huku yeye akipambana na Chadema tu , Mahusiano ya wananchi na Polisi ni sawa na sifuri sababu kuu ikiwa ni unyama wa polisi dhidi ya raia kwa mambo ya kisiasa.

Ni Muhimu sana Kiongozi huyu wa Polisi Songwe akang'olewa ili kurejesha imani ya wananchi kwa serikali yao.
Majeshi awakai station moja zaidi ya miaka miwili. Wa Dar alikaa sana. Hivyo ni sawa kabisa kuhamishwa
 
Maandalizi ya uchaguzi wapambe na wagombea wanapanga safu na wale wanaoonekana ni kikwazo wanashughulikiwa
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya umri nilionao , RPC Kyando wa Songwe ndiye kiongozi wa Polisi katili zaidi kwa waliopo sasa nchini Tanzania , huyu si wa kuonekana sana kwenye vyombo vya habari kama RPC Murroto wa Dodoma ambaye hata akikamata chupa 2 za gongo anataka TV zote zimuonyeshe , lakini unyama waliotendewa viongozi wa upinzani wa Mkoa wa Songwe na Jeshi la Polisi chini ya huyu RPC na hasa viongozi wa Chadema , haujawahi kufanywa mahali popote duniani.

Ukatili wa RPC Kyando wa Songwe unakaribiana na ule wa Omari Mahita alipokuwa RPC wa Kilimanjaro miaka iliyopita , lakini matukio ya uhalifu wa kawaida yanashamiri huku yeye akipambana na Chadema tu , Mahusiano ya wananchi na Polisi ni sawa na sifuri sababu kuu ikiwa ni unyama wa polisi dhidi ya raia kwa mambo ya kisiasa.

Ni Muhimu sana Kiongozi huyu wa Polisi Songwe akang'olewa ili kurejesha imani ya wananchi kwa serikali yao.
Atalipa tu kabla ya machweo.
 
Back
Top Bottom