Baada ya RTO kuwaonesha ubabe. Tanzania Prisons wanasema anachokitafuta atakipata

Baada ya RTO kuwaonesha ubabe. Tanzania Prisons wanasema anachokitafuta atakipata

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Hakuna salamu. Sina muda wa kupoteza.

 
Albadiri ya mzee Kibao. Huku wabunge ajali, kule TRA WA mchongo wanaadhibiwa mara Polisi na magereza rabsha ilmradi TU hakuna utulivu
 
Hakuna salamu. Sina muda wa kupoteza.

View attachment 3171508
mbona hawasimamishi ya wanajeshi? au wanawaonea hao kwa sababu ni magereza? halafu askari magereza mwenyewe anayesimamishwa na kusimama wakati yupo na gari ya ofisi (kama alikuwa na ya ofisi) ni mjinga, hakutakiwa kushuka, angekanyaga kibati kama wanamfukuza waenda magereza wakamchukue.
 
Waje wajichanganye kulisimamisha gari la jkt waone moto wa kupotea mbali.wao hawaheshimu Sheria lakini wenzao wanawataka waheshimu
 
Back
Top Bottom