Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Hakuna salamu. Sina muda wa kupoteza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema, washa gari uondoke hapo wasiwatanie! Wamezoea kunyanyasa raia kwenye masanduku ya kura na huko kwenu wanatesti mitambo! Msipojisimamia watawpanda kichwani!
Polisi wanachokitafuta watakipata mwisho wa kunukuu naomba wajirekebishe watz wameichoka polisi tz
Ndiyo Kunachachuka SasaKunazidi kuchangamka!
mbona hawasimamishi ya wanajeshi? au wanawaonea hao kwa sababu ni magereza? halafu askari magereza mwenyewe anayesimamishwa na kusimama wakati yupo na gari ya ofisi (kama alikuwa na ya ofisi) ni mjinga, hakutakiwa kushuka, angekanyaga kibati kama wanamfukuza waenda magereza wakamchukue.