Baada ya Russia Rais Samia aende Marekani kwa ziara

Trump hana muda wa kukutana na upuuzi
 
Kumbe mabeberu wa west mnawapenda kuliko Putin. Mshauri aende kwa Kiduku au Iran
Wao wanatupenda zaidi ndio maana hawajaacha kuwataja taja China na Russia kwenye huo muswada wao.

Inaelekea inawauma sana kutuona tuna mahusiano mazuri na mahasimu wao.
 
Kama anakwepa ziara za kenya huko marekani hatasubutu kupeleka pua lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…