PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
For argument sake ngoja tuangalia huu ushauri realistically..., Unawaambia Kina Bakari, Juma na James watoke makwao na silaha (sidhani kama umewaambia jinsi ya kuzificha au wewe ndio umeziweka sehemu wapite na kuzichukua au utawagawia, bali unawatangazia kwenye open media mithili ya mtu anayetoa tangazo kwenye gazeti la kila siku)..., Unataka kila mtu atoke kivyake lets say na Shoka au Panga au Mshale (unless ana sura kama mkulima au mlinzi - atakuwa ame-attract attention); haya amefika katika tukio ile tu kuonekana na silaha ni go ahead kwa wauwaji kumfanya target practice na kuwaponza wote waliomzunguka kwamba wana silaha by the time ametupia mshale na kutoa mwingine kwenye kapochi kake unajua SMG yenye magazine itakuwa na uwezo wa kutoa risasi ngapi at that same instant ?.

Ndio maana nimekwambia ukitaka kwenda that route maandamano sio njia sahihi (ni kama unacheza Chess kwa kutumia trick za Draft) unachoongelea wewe ni a different thing entirely ambapo unaweza kutumia surprize attacks na kwa uchache wenu bado mkaibuka washindi - hiki unachosema wewe casualities watakuwa wengi sana na unawapa motive wauwaji... Ofcourse nao watakufa ila when the dust settles it depends how we value life (and at that not yours yaani ya mwingine as a pawn)

Ushauri mwingine kama kweli wewe ni martly unaweza ukafanya waliofanya wachache / mtu mmoja (mfano death of Yitzhak Rabin au hata kina Anwar Sadat, JFK, Gandhi, Benezir Bhutto among many others)
Mkuu umeelezea kiweledi..uko vizuri
 
Waliojazana leo barabarani hujawaona? Wameambiwa waongezee ulinzi Augustino anataka kufanya yake..
Hao waliojazana mabarabarani leo sio Wanajeshi halisi. Ni KMKM , Mercenaries, Polisi, na UVCCM lakini ndani ya vazi la jeshi.
 
Back
Top Bottom