PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waliamshe tu. Nchi ilikua imepoa sana, yaani napitia madaftari ya history ya madogo wa form 3. Notes ni zile zile nilizosoma mimi miaka 18 iliyopita. Hakuna kilichoongezeka
Mkuu umenifurahisha sana, kwamba eti matukio ni yale yake mpaka yana bore kusoma.
 
Maria yeye ni mpanga mikakati ya ushindi.
For argument sake ngoja tuangalia huu ushauri realistically..., Unawaambia Kina Bakari, Juma na James watoke makwao na silaha (sidhani kama umewaambia jinsi ya kuzificha au wewe ndio umeziweka sehemu wapite na kuzichukua au utawagawia, bali unawatangazia kwenye open media mithili ya mtu anayetoa tangazo kwenye gazeti la kila siku)..., Unataka kila mtu atoke kivyake lets say na Shoka au Panga au Mshale (unless ana sura kama mkulima au mlinzi - atakuwa ame-attract attention); haya amefika katika tukio ile tu kuonekana na silaha ni go ahead kwa wauwaji kumfanya target practice na kuwaponza wote waliomzunguka kwamba wana silaha by the time ametupia mshale na kutoa mwingine kwenye kapochi kake unajua SMG yenye magazine itakuwa na uwezo wa kutoa risasi ngapi at that same instant ?.

Ndio maana nimekwambia ukitaka kwenda that route maandamano sio njia sahihi (ni kama unacheza Chess kwa kutumia trick za Draft) unachoongelea wewe ni a different thing entirely ambapo unaweza kutumia surprize attacks na kwa uchache wenu bado mkaibuka washindi - hiki unachosema wewe casualities watakuwa wengi sana na unawapa motive wauwaji... Ofcourse nao watakufa ila when the dust settles it depends how we value life (and at that not yours yaani ya mwingine as a pawn)

Ushauri mwingine kama kweli wewe ni martly unaweza ukafanya waliofanya wachache / mtu mmoja (mfano death of Yitzhak Rabin au hata kina Anwar Sadat, JFK, Gandhi, Benezir Bhutto among many others)
 
Unataka waandike uhuru tulipata 1969 na Karl Pieter alikuja 1700s
Madogo ambao bado hawajaliwa waje kusoma 2025 wakubwa zao walikinukisha kupinga ufisadi. Sio hii history ya kumtukuza Nyerere tu halafu mpaka leo matundu ya choo cha shule tu tunajengewa kwa msaada.

Madogo watakuja kuchukulia kama vile sisi tuliowatangulia hatukufanya chochote kuchallenge viongozi wawajibike.
 
Hivi unajua wanajeshi 15 na asikari 89 wamekufa?

Hivi unajua wanajeshi 12 Kati ya 15 wamezikwa Zanzibar maana yake Ni wazanzibar?

Hivi unajua kmkm 45 wanashikiliwa mpaka sasa kwa mauaji yaliyofanyika ?

Hivi unajua wanajeshi 18 wa Uganda na Zimbabwe wamekufa?

Hivi unajua sasahivi 75% ya police na wanajeshi wameikataa hii serikali baada ya mauaji?

Hivi unajua kwamba Kama Jambo litasubiliwa mpaka D9 Hali itakuwa mbaya Sana kwa wahuni

Ndio maana ili kuepusha madhara tunatakiwa kumaliza nao kabla ya maandamano ili kuokoa watu wasife Kama mwanzo

Na ndio plan ya vyombo vya usalama!

Wahuni wote kazi wanayo wajipange lasivyo kinawalamba.
Nakuamini hujawahi kuandika mashudu hata siku moja. Tension Kama iliyokuwepo kabla na baada ya tarehe 29 imerudi.
 
Sisemi n'goo 😁😄

Iko ivii kwa kifupi sanaa..

Oktoba29
Disemba9
Januari1
Januari12
April26

Zinafuatana nakwambia ukweli Tu
April 26 ndio siku ya kuvunja muungano. Afu tuone huyo chura kiziwi kama ataweza kuendelea kuitawala Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibar.

Hatupoi.
 
hao red cross ni kina nani?
Wale wanaovaa hivi
Screenshot_20251128_170038.jpg
 
Madogo ambao bado hawajaliwa waje kusoma 2025 wakubwa zao walikinukisha kupinga ufisadi. Sio hii history ya kumtukuza Nyerere tu halafu mpaka leo matundu ya choo cha shule tu tunajengewa kwa msaada.

Madogo watakuja kuchukulia kama vile sisi tuliowatangulia hatukufanya chochote kuchallenge viongozi wawajibike.
Kupinga ufisadi au kuchoma moto miundombinu,mali za watu na kuiba?
 
Sisemi n'goo 😁😄

Iko ivii kwa kifupi sanaa..

Oktoba29
Disemba9
Januari1
Januari12
April26

Zinafuatana nakwambia ukweli Tu
😹😹😹 Manyau nyau unajidhalilisha sasa.!!

Hizi kumbukizi za matukio ya nchi nazo codes unataka kusema? Kabisa unaona upo mbele ya muda mwenyewe?? 😹😹😹
 
Historia itakumbuka Samia alikataliwa na wananchi akajiweka madarakani kwa kufanya mauaji ya halaiki.

Historia haitakumbuka duka lililovunjwa wala kituo cha mafuta kilichochomwa moto
Labda kama historia ni muhalifu mwenzio
 
Ukiitajika utolee ufafanuzi ndipo utajua ni anonymous au gete gete...

NB. Humu Jf usizanie ni hapo kijijini kwenu..for your information Jf ni limashine LIKUUBWAAA... Rule to remember.. remember rule #1
Mkuu nimekuelewa ila kwa mbaaali
 
Back
Top Bottom