PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukiitajika utolee ufafanuzi ndipo utajua ni anonymous au gete gete...

NB. Humu Jf usizanie ni hapo kijijini kwenu..for your information Jf ni limashine LIKUUBWAAA... Rule to remember.. remember rule #1
Huna lolote nyeti
 
Hilda Newton unazingua ,usiwachuze Gen Z wakaenda kufa kama kuku ,utawaambiaje watoke na bendera tu? Utawaambiaje watoke mikono mitupu bila kujikoki? Hivi MO29 hamajajifunza? Utaendaje kupambana na magaidi wenye silaha za kivita ukiwa na bendera tu?

Ewe Gen Z mpenda mabadiliko msikilize Maria Sarungi anavyosema ,kamwe usitoke kinyonge ,kama unatoka na bendera tu ni kheri ukae ndani usitoke tu maana utaenda kufumuliwa ubongo bure ,amani haipatikani bali kwa ncha ya upanga.

Tambua unaenda kupambana na magaidi wenye silaha za kivita ,jikoki kama ukikosa AK47 basi hamna hamna Gobole ,mabomu ya kurusha ,mishale ,mikuki ,mapanga ,mashoka maana fita ni fita muraa!!
😹😹😹😹 Mecheka sana!!
 
Haitachekesha! Wanajambo Lao kabla ya D9. Twajua hawalindwi na malaika. Redcross nao wasema watasaidia kulipa kisasi.

Zingatieni hutuba ya Agustino. Imalisheni ulinzi wenyu. Huko mabarabarani kutatoa breaking news soon. Waseme hiyo ndio lugha itakayoeleweka. Sijui walahi. Na bado

Hii code ya Red Cross ulianza kuiongelea hata kabla ya October 29 lakini ki ukweli binafsi mpaka Sasa bado sijaielewa..
"Redcross" ni Kina nani??
 
Watanzania wenzangu nunueni mahitaji. Polepole mkubwa analiamsha dude kesho.

Hivi unadhani kichwa cha Kikwete kikikatwa kesho, tutaendelea kutoka nje??
Waliamshe tu. Nchi ilikua imepoa sana, yaani napitia madaftari ya history ya madogo wa form 3. Notes ni zile zile nilizosoma mimi miaka 18 iliyopita. Hakuna kilichoongezeka
 
Back
Top Bottom