PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

PostGE2025 Baada ya Saa 24 Redcross watamuunga mkono Agustino Polepole kugeuza mawe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna code Fulani nimepewa Zina ogofya kuziandika..

Ngoja tusubiriii
Oya mambo hayo ndio hatuyataki hapa. Kama hukutaka kuisema hiyo code hapa ungepiga zako kimya. Au unataka uanze bembelezwa ili useme?? Hizo pigo za kiwaki. Unataka kushea code weka hapa, hutaki piga zako kimya wacha uzi utembee.
 
Haitachekesha! Wanajambo Lao kabla ya D9. Twajua hawalindwi na malaika. Redcross nao wasema watasaidia kulipa kisasi. Zingatieni hutuba ya Agustino. Imalisheni ulinzi wenyu. Huko mabarabarani kutatoa breaking news soon. Waseme hiyo ndio lugha itakayoeleweka. Sijui walahi. Na bado
Si tumeambiwa hapa ni mikwara mbuzi ?
 
Sidhani!hawawezi!

Redcross ingekua na nguvu wangekua pro active mauaji ya Mo29 yasifanikiwe!

yeyote anaejinasibu kupambana na serikali.hasa viongozi wakati aliacha mo 29 damu ikamwagika huyo hapaswi kuaminiwa hasta kidogo!!

tuombe kudra TU ya Mwenyezimungu afanye jambo!

kwasasa njia pekee ni yona kutoswa hamna namna!

mungu ibariki Tanzania
Kwani walialikwa hiyo 29?kwa maana ya kupewa taarifa?
Kuna yyt alijua yatatokea yaliyotokea ?
Anyway kwa ss najua wamepewa taarifa ya tar9 kuwa ni ya amani ,mengine sijui
 
Hilda Newton unazingua ,usiwachuze Gen Z wakaenda kufa kama kuku ,utawaambiaje watoke na bendera tu? Utawaambiaje watoke mikono mitupu bila kujikoki? Hivi MO29 hamajajifunza? Utaendaje kupambana na magaidi wenye silaha za kivita ukiwa na bendera tu?

Ewe Gen Z mpenda mabadiliko msikilize Maria Sarungi anavyosema ,kamwe usitoke kinyonge ,kama unatoka na bendera tu ni kheri ukae ndani usitoke tu maana utaenda kufumuliwa ubongo bure ,amani haipatikani bali kwa ncha ya upanga.

Tambua unaenda kupambana na magaidi wenye silaha za kivita ,jikoki kama ukikosa AK47 basi hamna hamna Gobole ,mabomu ya kurusha ,mishale ,mikuki ,mapanga ,mashoka maana fita ni fita muraa!!
Kwahiyo wakitoka na silaha ndo zitawasaidia kupambana na hao wenye zana za kivita?ndugu yaani yale mabunduki yanayofumua ubongo na mtu uwe na panga ??

Anyway lkn pia Maria hajasema wayoke na silaha mimemsikiliza jana live tiktok
 
Mi naomba afanikiwe apangacho, na akiweza atupe taarifa tukasaidie.

Ponda kabisa ccm na polisi, ua na futilia mbali, wameteka, kutesa, kupoteza na kuua ndugu zetu muda mrefu sana, lolote baya litakalowafika tutasherehekea kwa siku 90.
 
Back
Top Bottom