MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Yawezekana Tanzania imebarikiwa sana the so called Spin Doctors kutoka Serikalini na hasa hasa kule 'System' Makao Mkabala na Mtakatifu Petro Oysterbay.If A=B and B is system unataka iweje 😀 ngoja mijadala ya mafuta na Royo tuwa ipumzike
Naona wewe ni mmoja wao 😀😀Yawezekana Tanzania imebarikiwa sana the so called Spin Doctors kutoka Serikalini na hasa hasa kule 'System' Makao Mkabala na Mtakatifu Petro Oysterbay.
Tafuta kwenye post yangu yoyote ya sasa au hata kabla hujajiunga hapa jukwaani, uone kama kuna popote niliwahi kusema mama anaupiga mwingi, ukipaona uje tuendelee na mjadala. Au unadhani kila mtu anachotwa akili kirahisi?Ngoja aje Tindo mzee wa kubwatuka.
Mi nawaambiaga hawa nyumbu siku zote kwamba serikali sio ya mchezo.
Ni mfumo wa kimafia ambao unafanya mambo kwa vipimo.
Oooooh Mama anaupiga mwingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sukuma gang wanakomeshwa [emoji12][emoji12][emoji12]
Mtadanganywa mpaka lini [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23]
Kunyolewa alishanyolewa na kakonda sana.Tafuta kwenye post yangu yoyote ya sasa au hata kabla hujajiunga hapa jukwaani, uone kama kuna popote niliwahi kusema mama anaupiga mwingi, ukipaona uje tuendelee na mjadala. Au unadhani kila mtu anachotwa akili kirahisi?
Sabaya ushahidi wa uovu wake uko wazi, lakini ni mahakama zipi za kumfunga? Mahakama hizi zinazopewa maagizo jinsi ya kuendesha kesi? Uhayawani wa Sabaya ulikuwa na baraka zote za Magufuli. Nilijua Sabaya ataachiwa tu toka nilipoona anakwenda mahakamani kuendelea na kesi nyingine, lakini nywele zake hazijanyolewa huku tayari ameshahukumiwa! Kwanza nilishangaa Sabaya alihukumiwa vipi bila serekali kumkingia kifua kama wafanyavyo kwa Makonda. Huenda umenitag kwenye post yako kwa kunichukulia kirahisi.
Toa Ushahidi Hatutaki Maneno ya kwenye kahawa system gani inawahitajiKikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation' imeandaliwa ambayo Yeye atatakiwa Kuiongoza na Kuifanikisha.
Naweza kuwa babu yako.Punguza utoto dogo.
Unatukosea sana wanakaskazini. Wasiomkubali ni nyumbu wa Mbowe tuu.Acheni kujipa matumaini ...yule kijana kama ni kukomeshwa amekomeshwa jela ameonja...na hata akiingia mtaani haohao waliokuwa wanakomaa afungwe ndio haohao watakaokula nae sahani moja...vinginevyo sabaya ahamie mwanza, kule Arusha na moshi hapamfai tena wala hatoishi amani......sote tunatambua kwamba wanakaskazini asilimia 90 hawamkubali sabaya.....je unadhani sabaya ataishi kwa furaha na amani?...na ukizingatia kwa sasa sabaya hana kinga yoyote ile kutoka juu...
Usitusemee Wakaskazini. Sabaya alitusaidia sana na tunamkubali sana. 2025 agombee Ubunge wa Hai, atapita kwa kishindo.Acheni kujipa matumaini ...yule kijana kama ni kukomeshwa amekomeshwa jela ameonja...na hata akiingia mtaani haohao waliokuwa wanakomaa afungwe ndio haohao watakaokula nae sahani moja...vinginevyo sabaya ahamie mwanza, kule Arusha na moshi hapamfai tena wala hatoishi amani......sote tunatambua kwamba wanakaskazini asilimia 90 hawamkubali sabaya.....je unadhani sabaya ataishi kwa furaha na amani?...na ukizingatia kwa sasa sabaya hana kinga yoyote ile kutoka juu...
Watu watafute hela halafu watu wa aina ya akina Sabaya waje na kuwanyang'anya, kuwasweka ndani, kuharibu vitega uchumi wao, na bado waangaliwe na waachwe tu! Ustaarabu gani huo?Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation' imeandaliwa ambayo Yeye atatakiwa Kuiongoza na Kuifanikisha.