Atleast ww muelewa, inapendeza kuona hiv waafrika wanaamka, inatia hasira kuona mtu mzima anaamini eti dunia ina miaka7000/6000 sabab et kitabu chake cha uongo cha dini kimemuaminisha hivyo.
Kuna mengi ya kujifunza mtu mweusi anatakiwa kuyajua, bahat mbaya tunaisha nyakati ambazo shetan anatawala by90% ndiomaana uongo unatawala na ukweli umefichwa na wanaojaribu kuufichuwa huonekana kama wahasi na waongo ama wachonganishi, kiukweli tuendako haya mafundisho ndyo yatakayotawala kila sehem mpka mtu mweusi aamke na kuijua historia yake ya kweli nje ya mafundisho ya wazungu&waarabu