Muccigang
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 1,313
- 1,918
Kuna kundi fulani la ndege wanapatikana UYOLE huwa majira fulani wanaenda FINLAND wanakaaa huko mda mrefu wanazaliana kisha majira fulani wanarudi uyole .wanasayansi wa kimazingira na viumbe hai bado wanafatilia kujua kwa nin ndege hao wanaenda finland na sio pengine na kwa nin wanarudi tz tena uyole tu? Kwa kifupi movement ya wanyama bado ni jambo la kushangaza kama swali la mtoa mada linavofikirisha..
Jibu litakuepo n nila environmental conditions