Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?

Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?

Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Kwani wale fisi waliopandishwa kwenye pickup hawakufika Chato?
 
Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?

Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?

Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Kama Adam na Eva walikuwa wazungu, wewe mwafrika ulitokea wapi?

Maswali mengine ukijiuliza untajiumiza kichwa tu.

Mwagilia moyo, Acha mambo ya kijinga
 
Walifikaje; Jibu ni kuwa walifika kwa kuzaliana.

Labda ungeuliza walifika baada ya mda gani!
Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?

Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?

Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
 
Walitawanyika na kuzaliana
Mwanazuoni...

Qur'an ina miaka takribani 1,200 - 1,300
Bible ina miaka takribani 3,000 - 3,500

Kwa mujibu wa kitabu kikongwe Bible ni kuwa Dunia ina Umri wa kati ya Miaka 6,000 hadi 7,000 kwa kuzingatia andiko la hapo mwanzo Mungu ana fanya uumbaji wa binadamu na viumbe vyote...

lakini hapo hapo...
Binadamu wa kwanza umri wake ni zaidi ya miaka 2 milioni iliyopita aliishi pale eden (Ngorongoro Crator ambayo wamasai na ndunia ina pambania isitoweke)

na ndio kunaitwa chimbuko la mwanadamu, the cradle of humankind... na nyayo zina patikana hapo...

ukienda pale ethiopia kuna kuna binadamu aliishi miaka zaidi ya 1 milioni iliyopita

ukienda pale uingereza kuna historia ya mtu mweusi ndiye wa kwanza kufika na kuishi, waingereza wenyewe wana fahamu, nenda mexico pia wana historia hiyo kama ya uingereza...

mtu wa kwanza kufika pale marekani (USA) alitokea morocco hakuwa mwarabu alikuwa mweusi...

twende misri na nchi za kaskazini mwa afrika historia ipo wazi kuwa ilikaliwa na watu weusi hapo awali kabla ya kuondolewa na historia yao kufutwa... hawa watu walipatikana mpaka israel (Watu weusi, sio hawa waisrael wa sasa waisrael wa mchongo)

twende zaidi...
vitabu vya dini vina eleza umri wa ulimwengu ni kati ya miaka 6,000 hadi 7,000 kwa kuzingatia maandiko hasa Genesis...

lakini mjusi wa pale lindi aliye gunduliwa na wajerumani na wana zidi kugundua kila kukicha mabaki yake...

mabaki ya awali ambayo waligundua na kusafirisha mnamo mwaka 1906 kama sijakosea, wana sema kiumbe huyu aliishi takribani miaka milioni 200 na zaidi, waka msafirisha mjusi yule na kumpeleka kwao ujerumani, yupo katika jumba la makumbusho pale Berlin...

sasa dunia ina kuwaje na miaka 6,000? 7,000?

kwa kuzingatia tafiti zilizo fanyika ambazo zina maajabu mengi ya wamisri na ndio ina semekana ndio chimbuko la mengi hadi hivi vitabu vitakatifu na sio israel kwa mujibu wa watafiti... na hila hizi zilifanywa na watawala wa ulaya hasa ugiliki ambayo ipo jilani na misri, waliiba na kuchoma taarifa nyingi pale misri.

pia kikundi kimoja cha watawa cha ufaransa ndio ina semekana ndio waanzilishi wa secret society (freemason) baada ya kuiba nyaraka za ujenzi wa yale mapiramids ambayo yalijengwa na mtu mweusi

walishangazwa ujuzi walio tumia kupandisha jiwe lenye matani mengi kukaa juu ya mnala bila kuleta shida miaka na miaka, leo waka pindisha story na kusema baba wa imani sjui nani kama sikosei ndio kizazi chake kilijenga hayo mapiramids, wakati umri wa mapiramids ni mkubwa kuliko umri wa baba wa imani...

na jiulize ina kuwaje mmarekani ktk noti yake ameweka mapiramids, na ina semekna yale mapiramids yana siri nzito sanaa...

Nimalizie kidogo, una jua kisa cha mfalme wa ugiriki kwenda kufanya maafa? na kuchoma kila kitu? ni baada ya watu wake kumwambia wale watu wana nguvu kubwa na wana mahusiano na watu walio acha miili (Mizimu).

leo tuna ambiwa wakina Pythagoras ndio wagunduzi wa hesabu sijui milinganyo nk, lakini zilitumika kabla yao na ndio zilijenga hayo mapiramids ya misri...

Tutaendelea... wakati ujao...
FUSO MamaSamia2025 Doyi britanicca KISIWAGA Brightfame Mtoto wa Jadu Ezekiel Mbaga Root Kalunya Introvert_007 Sandali Ali Ntopo Kilebente Azathioprine Lubengera Donatila cocastic yoga Asprin Maxence Melo Njemba Soro. Nuzulati Mkendo Tajiri Kichwa Zero IQ adriz Mwalimu wa tuisheni Ziroseventytwo rubii feitty baby zu Otterhound Triple G Encryption Tomaa Mireni DeepPond Toyota escudo@Lavan Island FRANCIS DA DON The Infinity Mamndenyi Msudu mwandende Kelvin X The imp Nautico@Kapeace johnthebaptist Pascal Mayalla
 
FUSO MamaSamia2025 Doyi britanicca KISIWAGA Brightfame Mtoto wa Jadu Ezekiel Mbaga Root Kalunya Introvert_007 Sandali Ali Ntopo Kilebente Azathioprine Lubengera Donatila cocastic yoga Asprin Maxence Melo Njemba Soro. Nuzulati Mkendo Tajiri Kichwa Zero IQ adriz Mwalimu wa tuisheni Ziroseventytwo rubii feitty baby zu Otterhound Triple G Encryption Tomaa Mireni DeepPond Toyota escudo@Lavan Island FRANCIS DA DON The Infinity Mamndenyi Msudu mwandende Kelvin X The imp Nautico@Kapeace johnthebaptist
Mkuu, sijui wale jamaa walitengeneza vipi yale makumbusho kwenye ile njia inayosemekana Yesu alipita.
Anzia Misri-Jordani- Israel!. aisee walijipanga kweli kwelikweli.

Ukienda pale hakika utaamani uwepo wa haya tunayonyasoma katika Bibli na vitabu mbali mbali vya imani.

Swala la miaka katika vitabu na machapisho mbalimbali bado haiko sawa! mfano, unaambiwa asili ya mwanadamu ni Nyani ambaye alikuwa anabadilika kadri muda unavyooenda, at the same time Biblia inasema Mwanadamu wa kwanza alikuwa Adamu pale Eden.

Binafsi, naamini sana muda uliyopo kwenye vitabu vya dini kuliko mambo ya carbon 14 tulizokaririshwa, haiwezekani Vufu la mwanadamu wa kwanzs liko Olduvai, na wakati tunafaham mwanadam wa kwanzs alikuwa Adam.

Haya mambo ukisema uyafuatilie kiundani kwa na kwa logic, huta kaa ukubaliane na hawa watafiti pamoja na maandiko ya vitabu dini (Bible+Quruan)
 
Mkuu, sijui wale jamaa walitengeneza vipi yale makumbusho kwenye ile njia inayosemekana Yesu alipita.
Anzia Misri-Jordani- Israel!. aisee walijipanga kweli kwelikweli.

Ukienda pale hakika utaamani uwepo wa haya tunayonyasoma katika Bibli na vitabu mbali mbali vya imani.

Swala la miaka katika vitabu na machapisho mbalimbali bado haiko sawa! mfano, unaambiwa asili ya mwanadamu ni Nyani ambaye alikuwa anabadilika kadri muda unavyooenda, at the same time Biblia inasema Mwanadamu wa kwanza alikuwa Adamu pale Eden.

Binafsi, naamini sana muda uliyopo kwenye vitabu kuliko hostoria tulizokaririshwa, haiwezekani Vufu la mwanadamu wa kwanzs liko Olduvai, na wakati tunafaham mwanadam wa kwanzs alikuwa Adam.

Haya mambo ukisema uyafuatilie kiundani kwa na kwa logic, huta kaa ukubaliane na hawa watafiti pamoja na maandiko ya vitabu dini (Bible+Quruan)
wenzetu wana jifunza na wana tafiti...

kuna maprofesa kibao toka vyuo vya ulaya na marekani wamefanya tafiti za yaliyo andikwa ktk vitabu vitakatifu...

na zaidi wana masomo kulingana na eneo, historia ya afrika una bobea huko na una fanya tafiti, ndio hawa wana kuja ngorongoro, lindi etc wengine misri na maeneo mengine ya afrika...

masomo ya historia ya ulaya... asia nk. sisi tuna somo la historia lakini ni historia ya wapi kuanzia msingi mpaka vyuo ajulikani ni historia ya wapi? ya nini? labda wale wanao soma archaeology lakini tafiti zao na field zao bado sija zielewa pale mlimani...

japo maprofesa wa pale UDSM wana tajilika kwa kufanya hizi tafiti ambazo hatuoni matokeo ya moja kwa moja...

pia kuna kitu tuna ogopa sababu tayari tulisha dangaanywa mengi sana na kubaki na hofu, lakini walio leta dini miaka 3,000 iliyopita hawana hofu kuliko sisi tulio ishi miaka zaidi ya milioni mbili tukiwa na dini zetu na mungu wetu etc...

lugha ina nguvu ktk mawasiliano lakini wenzetu wame tuvuluga huku wao ukienda kwao utajifunza lugha yao, nenda taifa lolote ulaya, lugha yao kwanza alafu ndio lugha zingine kama kingereza, kifaransa nk.

walikuja waka haribu kila kitu na tuna baki kuwa tukuza wakati hapo mwanzo walituogopa... kwa kuwa tuliyo yafanya yalikuwa makubwa... waafrika walisafiri huku na huko, achana na mansa muss ambaye alikuwa na ukwasi wa kutisha , waafrika walifanya vizuri kipindi cha uko nyuma.

ila tatizo ni ngozi nyeusi basi

Mwanazuoni...

Qur'an ina miaka takribani 1,200 - 1,300
Bible ina miaka takribani 3,000 - 3,500

Kwa mujibu wa kitabu kikongwe Bible ni kuwa Dunia ina Umri wa kati ya Miaka 6,000 hadi 7,000 kwa kuzingatia andiko la hapo mwanzo Mungu ana fanya uumbaji wa binadamu na viumbe vyote...

lakini hapo hapo...
Binadamu wa kwanza umri wake ni zaidi ya miaka 2 milioni iliyopita aliishi pale eden (Ngorongoro Crator ambayo wamasai na ndunia ina pambania isitoweke)

na ndio kunaitwa chimbuko la mwanadamu, the cradle of humankind... na nyayo zina patikana hapo...

ukienda pale ethiopia kuna kuna binadamu aliishi miaka zaidi ya 1 milioni iliyopita

ukienda pale uingereza kuna historia ya mtu mweusi ndiye wa kwanza kufika na kuishi, waingereza wenyewe wana fahamu, nenda mexico pia wana historia hiyo kama ya uingereza...

mtu wa kwanza kufika pale marekani (USA) alitokea morocco hakuwa mwarabu alikuwa mweusi...

twende misri na nchi za kaskazini mwa afrika historia ipo wazi kuwa ilikaliwa na watu weusi hapo awali kabla ya kuondolewa na historia yao kufutwa... hawa watu walipatikana mpaka israel (Watu weusi, sio hawa waisrael wa sasa waisrael wa mchongo)

twende zaidi...
vitabu vya dini vina eleza umri wa ulimwengu ni kati ya miaka 6,000 hadi 7,000 kwa kuzingatia maandiko hasa Genesis...

lakini mjusi wa pale lindi aliye gunduliwa na wajerumani na wana zidi kugundua kila kukicha mabaki yake...

mabaki ya awali ambayo waligundua na kusafirisha mnamo mwaka 1906 kama sijakosea, wana sema kiumbe huyu aliishi takribani miaka milioni 200 na zaidi, waka msafirisha mjusi yule na kumpeleka kwao ujerumani, yupo katika jumba la makumbusho pale Berlin...

sasa dunia ina kuwaje na miaka 6,000? 7,000?

kwa kuzingatia tafiti zilizo fanyika ambazo zina maajabu mengi ya wamisri na ndio ina semekana ndio chimbuko la mengi hadi hivi vitabu vitakatifu na sio israel kwa mujibu wa watafiti... na hila hizi zilifanywa na watawala wa ulaya hasa ugiliki ambayo ipo jilani na misri, waliiba na kuchoma taarifa nyingi pale misri.

pia kikundi kimoja cha watawa cha ufaransa ndio ina semekana ndio waanzilishi wa secret society (freemason) baada ya kuiba nyaraka za ujenzi wa yale mapiramids ambayo yalijengwa na mtu mweusi

walishangazwa ujuzi walio tumia kupandisha jiwe lenye matani mengi kukaa juu ya mnala bila kuleta shida miaka na miaka, leo waka pindisha story na kusema baba wa imani sjui nani kama sikosei ndio kizazi chake kilijenga hayo mapiramids, wakati umri wa mapiramids ni mkubwa kuliko umri wa baba wa imani...

na jiulize ina kuwaje mmarekani ktk noti yake ameweka mapiramids, na ina semekna yale mapiramids yana siri nzito sanaa...

Nimalizie kidogo, una jua kisa cha mfalme wa ugiriki kwenda kufanya maafa? na kuchoma kila kitu? ni baada ya watu wake kumwambia wale watu wana nguvu kubwa na wana mahusiano na watu walio acha miili (Mizimu).

leo tuna ambiwa wakina Pythagoras ndio wagunduzi wa hesabu sijui milinganyo nk, lakini zilitumika kabla yao na ndio zilijenga hayo mapiramids ya misri...

Tutaendelea... wakati ujao...
FUSO MamaSamia2025 Doyi britanicca KISIWAGA Brightfame Mtoto wa Jadu Ezekiel Mbaga Root Kalunya Introvert_007 Sandali Ali Ntopo Kilebente Azathioprine Lubengera Donatila cocastic yoga Asprin Maxence Melo Njemba Soro. Nuzulati Mkendo Tajiri Kichwa Zero IQ adriz Mwalimu wa tuisheni Ziroseventytwo rubii feitty baby zu Otterhound Triple G Encryption Tomaa Mireni DeepPond Toyota escudo@Lavan Island FRANCIS DA DON The Infinity Mamndenyi Msudu mwandende Kelvin X The imp Nautico@Kapeace johnthebaptist Pascal Mayalla
Chillah asante kwa bandiko murua lililojaa maarifa wakati najiandaa na majibu kuna hii mada hapa nakuwekea... Nitarejea[emoji1545]

Enzi hizo bara lilikuwa moja (One major landmass known as Gondwanaland) kwa hiyo lilipojigawa (splitting through natural force) kila kipande (bara au kisiwa) kiliondoka na viumbe wake. Sehemu nyingine wanyama walipelekwa.
aa WAP hapo umetudanganya mkuu Mambo ya discover yalikuja baada ya hayo mamb kutokea wangekuwepo ndo wangetuambia kwamb n force ndo zilizo fanya mpaka pakagawanyika uongo uo
 
Hivi kwa nini Mungu aliwaua watu kwa maji wakati angeweza tu kubonyeza button roho zao zikaondoshwa,ila Mungu bwana kuna wakati alikuwa akifanya michezo ya ajabu sana kama kipindi kile alipoufanya moyo wa Farao kuwa mgumu
Kaka matendo ya Mungu hayaelezeki alaf Mungu achhunguziki njia zake
 
Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale?

Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje?

Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina kabla ya gharika hivyo wanyama wote waliokuwa nje ya safina walikufa.
Kwani hiyo gharika ilikuwa dunia nzima? Halafu wanyama wa nchi kavu wala nyama walikuwa wanakula nini? Vipi kuhusu mimea ambayo haiwezi kuishi kwenye maji mengi?
Safina ilikuwa na ukubwa gani? Na aina ya viumbe - wanyama wa nchi kavu tu vilikuwa vingapi? Halafu idadi yao inakuwa mara mbili - me na ke!
 
Hapo huwa kuna swali la kujiuliza, Je mafuriko yalikuwa dunia nzima!?

Kwamba kwa kipindi kile dunia iligeuka na kuwa mpira wa maji!?

Wale waliokuwa wanaishi Tandahimba, nao walistahili adhabu ile? Yaani walimkosea Mungu kama ambavyo watu wa Nuhu walivyofanya!

Nadhani mafuriko yale yalikuwa ni adhabu kwa watu wa mji wa Nuhu.
Na hili ndio jibu sahihi kabsa mzee wewe piga k vant ndogo
 
mada fikilishi, naamini admin wa hizi story kuna mda utamu wa kuandika ulimzidia na kujikuta chumvi anazidisha
 
Back
Top Bottom