Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Nimependa jina lakoHapo huwa kuna swali la kujiuliza, Je mafuriko yalikuwa dunia nzima!?
Kwamba kwa kipindi kile dunia iligeuka na kuwa mpira wa maji!?
Wale waliokuwa wanaishi Tandahimba, nao walistahili adhabu ile? Yaani walimkosea Mungu kama ambavyo watu wa Nuhu walivyofanya!
Nadhani mafuriko yale yalikuwa ni adhabu kwa watu wa mji wa Nuhu.