Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

Umeandika ushuzi mtupu. Kama Mungu alitupa akili za kujua jema na baya inakuwaje nishindwe kuielewa biblia iliyoandikwa na binadamu wenzangu?
 
Halafu hili suala la binadamu wa kwanza kuna Mzee Joseph Mihangwa alidai yeye anaamini binadamu wa kwanza ni yule wa Olduvai kwa kuihusisha biblia. Anadai binadamu wa kwanza aliishi na wanyama Edeni ila baada ya kuasi akatolewa mle. Sasa ukiunganisha dots ni kwamna Edeni ilikua na wanyama wote ambapo Ngorongoro crater inao karibu wote.. pia kama Adam alitoka nje ya Edeni basi inawezekana ni yeye alitoka nje ya Crater na kwenda Olduvai kwasababu sio mbali.
 
Story zote kwenye vitabu vya dini vinaongelea middle east...sasa na sisi huku afrika tunafikiri ni ulimwemu wote......
 
Ukiweza kujua mifupa na damu pia pumzi na nyama viliingiaje au vilifakaje tumboni mwa mama yako kisha ukaanzisha mchakato wa kutoka na kuendelea kuishi na leo upo unajiuliza maswali kama haya ya wewe ulijipataje kuwa Tanzania. Ukipata jibu ya hayo Hakika utakuwa na jibu la hilo swali lako, ni rahisi mno.
 
Umeandika upuuzi
 
Kama walivyofika wanadamu KILA pembe ya Dunia ndivyo walivyofika wanyama pia.
Achana na story za mtu wa kwanza alipatikana Olduvai.Hizi ni za kutunga.
Mtu wa kwanza alitokea middle east
Jibu ni rahisi tu. Lisilowezekana kwa Binadamu, kwa Mungu linawezekana. Ndio maana ujio wa Adamu na Hawa ni miaka 7,000 iliyopita lakini fuvu la binadamu wa kale ni miaka 3,000,000 iliyopita😂😂
 
Hii chai.

Hivi unajuwa umbali wa kutoka Tanzania hadi Finland?

Hao ndege hawachoki?
Wamewezaje kuvuka bahari kuu?
Wamejuwaje kama hawa ndege wanatoka uyole Tanzania?
Acha Ubishi basi! Nini maana ya kumiliki smart phone!
 
Swali la kitoto kabisa.Kama mimi ni mmoja ya moderators nalifutilia mbali. Wanyama wanaogelea na wanahamishwa na watu kufika kila sehemu.Simba wa Serengeti na tausi wa misitu ya kongo walifikaje huko America.
 
Unauliza vitu ambavyo ni rahisi sana kujibiwa, kwani waisrael walivuka vipi bahari ya shamu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…