Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

ivi unaeza kuuza tv ya nyumbani kwenu babaako asijue? sa utauzaje kitalu bila raisi kujua na kuidhinisha? wana lumumba mnatafta pa kutemea kiazi maana mmemeza cha moto
 
Wote ikiwemo wanaojificha na kuvaa kofia za CCM washughulikiwe.
Wengine wanajulikana kama ESKROW NA WA RADA NA EPA
 
The Hell Walikuwa Wapi Wasimhoji Kabla ya Kuhama!

Nyalandu anafanyiwa Ushenzi kwa Kuwa alienda Kumtazama Tundu Lissu! Kwani Magufuli ameonya Atakayekwenda Kumwona Lissu Ni Msaliti. Halafu Utajiuloza, Washenzi wanaokataza Watu wasimsalimie Mtu, Ati wanatangaza kwa Unafiki Kuwa wanataka Kumtibu Mtu huyo huyo!

CCM na Magufuli asichojua Ni Kuwa Nyalandu Ana connection ya Watu wenye POWERFUL sana Marekani na Hata Tanzania! Nyalandu ni Rafiki Mkubwa wa Mkapa, na Ni Kama Mtoto Kipenzi wa Mama Anna Mkapa! Anajuana na Magavana, Masenetor etc! PATACHIMBIKA Sio Kidogo!
 
Cdm mpeni muda huyu Mr smart amalizane na dola,kwani mnahama!atakuja tu.
 
zungusha macho ndani Ya jf pekee utakuta thread nyingi za magendo Ya Nyalandu, maoni yako ni generic
Hoja yangu si kwamba Nyalandu ni msafi au hana makosa, ila ni wakati gani anaonekana mkosefu. Kwa nini makosa yao yanaibuka baada ya kuhama Chama? Kwa maana hiyo unaweza kusema kuwa kama una makosa, unakuwa salama zaidi ukiwa ndani ya CCM
 
CCM kushindwa kumgusa Chenge imenifanya kuwaona wanafiki sana kwenye suala la ufisadi... haya mengine ni maneno hovyo tu
 
Alipokuwa CCM alikuwa msafi. Kahama mnampakazia. Ina maana wote CCM ni wachafu
 
Mpeleke tu kama ana tuhuma asiangaliwe mtu apate haki yake kama mtanzania yeyote. Kama ana mali za wizi arudishe tu na maisha yaendelee.
 
Huu Uzushi wa akina Jerry Muro na le mutuz huko gheto tafuteni wajinga ndiyo muwaelezee
 
nyie mafisadi wa CHADEMA tutawafunga muda si mrefu siku zenu zinahesabika
Anza kuwafunga mafisadi wa CCM ambao walinunua kivuko cha mwaka 1978 kwa bilion 8 pia wafunge wale waliotafuna bilion 251 wizara ya ujenzi kwa kuwalipa kandarasi Hewa, aliyeuza nyumba za serikali akajiuzia nyumba kibao kienyeji na kugawa kwa hawala na mdogo wake kinyume cha sheria, wafunge waliokula 10% ununuzi wa ndege ndege ujenzi wa chato Airport, Reli, kuchukua pesa Hazina kienyeji kumpatia Lipumba kuua CUF na kudhoofisha chadema, anza kuwafunga hao kwanza ndipo uje na Uzushi wako.
 
Alipokuwa CCM alikuwa msafi. Kahama mnampakazia. Ina maana wote CCM ni wachafu
CCM hawajui kuwa watanzania wa sasa wameamka wanajua kuhoji kutafakari na wengi wanajiuliza iweje CCM wakae kiimya miaka yote pasipo kumshitaki? Kusikia anahamia chadema ndipo wanaanza madongo? Siasa za maji taka hazina Nafasi kwa kipindi hiki cha watanzania walioamka
 
CCM kushindwa kumgusa Chenge imenifanya kuwaona wanafiki sana kwenye suala la ufisadi... haya mengine ni maneno hovyo tu
Bashite Maliyamungu hana vyeti, kala Rushwa nyingi kwenye ile blackmail list ya dawa za kulevya, alichukua magari ya watuhumiwa mali zao pesa nk, pia kala 10 % nyingi kupitia tenda mbalimbali anazowasaidia GSM ikiwemo ununuzi wa ndege pesa toka Hazina kwenda kwa Lipumba na Msajili huko CCM hakuna msafi hata mmoja.
 
Nyalandu aombe hifadhi ya kisiasa Marekani aende akawaelezee Udikteta wote unaofanywa na Mtukufu malaika wa chato ili CIA na FBI wamchinguze kimya kimya kisha waanike ubaya wake Duniani kote wajue.
 
Je vipi kuhusu waliofoji vyeti na walionunua wapiga kura wao uchunguzi lini?
ICC iwafunge tume ya uchaguzi na kile kikundi cha January makamba walioshirikiana kufanya uchakachuaji wa kura.
 
Tutazaa naye tu huyo jangili hata akimbilie kwenye kitanda alicholalia fisadi mwenzake Tundu Lisu!
Ahahahahaaaa mnachekesha kweli mtu akihama chama chenu cha manunuzi mnaanza kumlushia mayai viza, vipi kuhusu chenge ni fisadi au sio fisadi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…