Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama. Kwa hili MiCcm imevuliwa nguo badala ya Kuchutama imesimama.
 
Mwalimu aliwahi kusema: "MTU mjinga akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukakubali, atakudharau".
 
Yaani hata maana ya mfumo huelewi, haya ndio matatizo ya kujilazimisha kuandika na kupost wakati akili zako ni za kubeti tu.
 
Yesu waliwaita wafalisayo wanafki.
Hawa jamaa ni shida wanatafuta fulsa za pesa tu tumeshawajuwa.
 
Wakati wao wanahangaika na madiwani chadema inabeba wabunge..
Madiwani wanawanunua
Wabunge wao wapenda haki wanakuja wenyewe kwetu...
Bado naskia na yule waziri aliyeitwa popo mda simrefu anakimbilia chadema
 
Tukisema upinzani wa nchi hii hawajielewi wala kujitambua tunaonekana kama tunawaonea,2015 walikomaa na kudai kwamba hawataki mfumo sasa cha kushangaza wanashangilia mfumo unavyohamia kwao.......haya ni maajabu ambayo yanafanywa na wapinzani wa Tanzania tu
CCM mpya TANZANIA mpya
 
CHADEMA mwaka 2020 mtafanya njia kuwa nyeupe na kampeni kuwa rahisi sana kwa CCM.. Hoja kuu itakua CHADEMA ni chaka na chama cha mafisadi maana kila anayetoka na kashfa CCM anaenda kujiunga nao.
 
Wakati wao wanahangaika na madiwani chadema inabeba wabunge..
Madiwani wanawanunua
Wabunge wao wapenda haki wanakuja wenyewe kwetu...
Bado naskia na yule waziri aliyeitwa popo mda simrefu anakimbilia chadema
Kwa kweli inasikitisha sana kama mtu aliyepewa nyadhifa ya UONGOZI na kuwa na kashfa ndani ya serikali tena zilizoibuliwa na upinzani dhabiti kabisa Leo kujiunga na CHADEMA anaitwa mpenda haki!
CHADEMA mtavuna mnachopanda!
 
Chadema iko nje ya nchi kuwa sheria haziwagusi? Ccm kuna sheria ambazo ukihama chama sheria haikugusi?!
 
Nimegundua kitu kimoja. Familia bora na yenye maarifa ni ile yenye mkuu wa familia (baba au mama) mwenye akili, hekima na uchaji wa Mungu. Ikimkosa mkuu wa familia mwenye sifa hizo hakika inakuwa kama club ya pombe za kienyeji au danguro.
Nikiiangalia ccm ya sasa nadhibitisha kauli yangu hiyo
 
Kuna mtu aliuza nyumba za umma; huo ni ufisa
Haya yote yameibuka baada tu ya yeye kuwa bega kwa bega kumuuguza home boy wake Lissu; kuna mtu alikuwa hataki mwana CCM yoyote aende kumjulia hali ama kushiriki kumuuguza; Hizi siasa za visasi naziona kushamili kwenye awamu hii - Yaani Mbunge mwenzako anapigwa risasi yu mahututi then mtu tu anakupangia masharti ya kutokwenda kumsalimia - aisee tunakwenda wapi na siasa hizi za visasi visasi??

Nyalandu upo sahihi - watanzania tupo pamoja na wewe!!
 
Leo wamekuwa watetezi wake. Kweli vijana wa Bavicha mna kazi kubwa sana ya kuhoji kuna siri gani mnafichwa juu ya Usafi na Mwelekeo wa Chama chenu!

 
Hawa wazee wetu wanastahili pongezi za dhati kwa utumishi wao ndani ya chama na kuendelea kuaminiwa na chama.

Tuzidi kuwaunga mkono katika juhudi zao
 
Nashangaa Mkulu kwa nini hakumpa tuzo kwa kurudishia Serikali pesa zake ni jambo la kijasiri haijawahi kutokea.
 
Nyuzi kama hizi timu Buku saba huwa wanafanya kama hawazioni vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…