Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

Kingwangwala kamkimbiza Nyalandu CCM!

Mbwa ndio anatikisa Mkia sio Mkia kutikisa Mbwa!
Nyalandu kachagua kujivua Nguo
Nyiye maCCM mna laana!! Yaani wakiwa ndani ya CCM, ni ‘wasafi’ wakitoka tu, wanakuwa oil chafu!

Hivi homeboy Kalemani vipi? Maana yeye ndiye injinia wa mikataba ya madini!!
 
Makosa yake mmeyaona baada ya yeye kwenda Nairobi. Nani asiyejua sirikali hii inashughulikia wapinzani na wale wote wanaohoji utendaji wake?
 
Hahaha sawa nitamuambia, nisaidie kumuambia Bulldozer kuna msikiti upo kwenye reserve ya barabara na Maimamu wanasubiria eti Alah aje kuuvunja
Wakati Mwanza hawavunjiwi ndio walio mpa Urais
Usihamishe mada we fisadi!!
 
Mambo mengi yanayoendelea kutokea nchini nahisi kama yako scripted
 
Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Watanzania wengi wanajua kuwa CDM ni kichaka cha WEZI, MAFISADI na WAHUJUMU UCHUMI.
Lakini mimi nadhani waliomshauri wamempotosha sana. Kama ana makando kando ilitakiwa ayamalize kwanza ndipo aondoke. Kukimbia tatizo si kutatua tatizo bali no kuongeza tatizo.
 
Tutazaa naye tu huyo jangili hata akimbilie kwenye kitanda alicholalia fisadi mwenzake Tundu Lisu!
Daah! Nyie watu mna chuki mbaya sana. Vp na katibu mkuu wa chama nae mtazaa nae au mtasubiri mpaka ahame hapo Lumumba?!
 
akili nyingine bwana zinaendana na Jina lako la CHULA hivi uliona wapi waziri ana saini mikataba pasipo kupeleka mikataba hiyo kwenye baraza la mawaziri au unadhani baraza la mawaziri huwa wanakazi ya kunywa chai.

kama unavyoona katika Halmashauri zetu Mikataba yote hupitiwa na committees mbalimbali kisha kuidhinishwa na mabaraza ya madiwani na Mkurugenzi ndivyo ilivyo ktk ngazi za juu hivyo hivyo
 
Dah!!! Hivi tamthilia mnazoleta watu wa Lumumba mnafurahisha sana. Inaonyesha kuondoka kwa Nyarandu huko kwenu roho imewauma kweli kwa kuwa mshaanza kuhisi mna uwezekano mkubwa wa kupoteza hilo jimbo na jamaa kuja kuleta siri zenu upinzani
 
Tutazaa naye tu huyo jangili hata akimbilie kwenye kitanda alicholalia fisadi mwenzake Tundu Lisu!
Ashughulikiwe ipasavyo na kwa ukamilifu!

Taifa haliwezi kugeuzwa Kitalu cha Ujangili na upigaji
 
Hata kama yupo chadema afikishwe tu mahakamani,kama walifikiswa watu Wengine iweje yeye.sisi tunajua chadema ni genge la kukimbilia mafisadi wote wa inchi
 

Hamna lolote kiwewe tu kinawasumbua,poleni.
 
Niulize tena, hivi mwizi akiiba kwa ufanisi akiwa CCM anakuwaje salama kwa lukimbilia CHADEMA? Kweli kabisa mnatuaminisha Nyalandu kakimbia tuhuma CCM na kwenda CHADEMA ili asishitakiwe? Kwamba huko kuna immune gani? Toka muanze makelele ya kufunga mafisadi mmefunga wangapi wa upinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…