Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Watanzania wengi wanajua kuwa CDM ni kichaka cha WEZI, MAFISADI na WAHUJUMU UCHUMI.
Lakini mimi nadhani waliomshauri wamempotosha sana. Kama ana makando kando ilitakiwa ayamalize kwanza ndipo aondoke. Kukimbia tatizo si kutatua tatizo bali no kuongeza tatizo.
Unamaanisha angebaki ccm asingeguswa kwa sababu ni mwenzenu.
 
Usihamishe mada we fisadi!!
Mimi fisadi kweli, endelea kushindia vitumbua na kubeba magazeti hapo Lumumba na nikipita na Range langu uendelee kusema jamaa noma sana dah ni tajiri wakati wewe soksi tu za 500 zimetoboka

Mada imehamishwa vipi? Si umesema soon mafisadi wote watashitakiwa mimi nikakuambia hiyo mahakama ya mafisadi mtafugia mbuzi ama nguruwe

Hivi mnalishwa nini hapo Lumumba?
 
umeshapokea ujira au umeanzisha kwa mkopo !?
 
ha ha ha mnavyoaandaa hizi habari za uongo ndio mnaharibu kabisa, amehojiwa lini na wapi?
 
Hongera Nyalandu kwa kufanya good timing! Sasa imejibweteka midomo wazi!
 
natamani nisikie dongo la mkuu kwa nyarandu...
Walioifilisi nchi hii wataishi kama mashetani na wanaowatetea na kuwapamba kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari nao siku zao zimewadia.
 
Hii nchi inafurahisha sana,yaani MTU akiwa upande wa kijani anakuwa mtakatifu sana,kimbembe huja akikihama chama cha kijani yaani hapo ndio kila story utaisikia,mlikua wapi kuandika haya kabla hajakihama chama?yaani kuhama chama tu tayari mnampa kashifa zote,.Ina maana unataka kutuamisha kuwa hapo walobaki kwenye chama ni wasafi saana?wanatakaswa na chama au?Kama we ni mzalendo kwa nini umesubiri Nyalandu kakihama chama ndio povu linakutoka?
 
mwenye uelewa na siasa majitaka naomba anipe ufafanuzi.
Siasa maji taka ni mtu kujiunga na kundi la watu kwa ajili ya maslahi kwa kigezo cha wananchi wamekuchagua
Ukipokonywa maslahi yako ndo unageuka kuangalia kundi jingine hilo linabaki kuwa taka
 
Yaani kumbe ni kweli ndege wanaofanana wanaruka tundu moja.

Naona vitu na mambo yaliyokuwa yamejificha sana uko nyuma yaani kama Wema anakula unga ameamia chadema kwa wenzake.
Lowasa walitwambia kwa ushaidi kuwa ni mwizi na ushaidi tukapewa na kuuona na kuusimamia kwa miaka nane na kila fisadi anakimbilia Chadema. Na nyalandu ameomba aingie uko kama inafaa ktk kichaka hicho.

Ningumu kwa fisadi kubaki Ccm kwa kipindi hiki cha Dr. John Magufuli.
Kumbukeni mafisadi wote wamekimbilia Chadema kama Gugunita, Makongoro Mahanga, Masha, Sumae ambaye tulimsema sana na ukabaila wake hadi juzi Rais katekereza waliyokuwa wanamlalamikia sumai kumiliki mashamba bila kuyaendeleza.
 
Watakaobanwa kwa tuhuma za ufisadi wote wanaweza kutoa majibu kama ya "MZEE WA vijisenti" na wakasafishika.
 
Hii nchi inafurahisha sana,yaani MTU akiwa upande wa kijani anakuwa mtakatifu sana,kimbembe huja akikihama chama cha kijani yaani hapo ndio kila story utaisikia,mlikua wapi kuandika haya kabla hajakihama chama?yaani kuhama chama tu tayari mnampa kashifa zote,.Ina maana unataka kutuamisha kuwa hapo walobaki kwenye chama ni wasafi saana?wanatakaswa na chama au?Kama we ni mzalendo kwa nini umesubiri Nyalandu kakihama chama ndio povu linakutoka?
Agenda kuu ya Upinzani wakati wa uchaguzi mkuu 2015, na kinachoendelea sasa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ni kwamba CCM ni Chama Cha Mafisadi, au kauli iliyozoeleka sana Chukua Chako Mapema.

Tangu Rais Magufuli aingie madarakani na kuwa M/Kiti wa CCM, kwa ahadi yake ya kula sahani moja na mafisadi, matokeo yanaonekana sasa kwa mafisadi kukimbia chama hata bila kufukuzwa.

Baada ya kushughulikia madini, rasimali zinazofuatia kushughulikiwa itakuwa Utalii, Ardhi (tayari hatua zimeanza kuchukuliwa), Uvuvi, Misitu, nk. Hakika kila jiwe litafukuliwa.

Wahusika kamwe hawataweza kukwepa mkono wa sheria.

NAMBA WATAISOMA
 
Hapo ni very simple case, Nyalandu atasema alipewa maelekezo na raisi wa nchi na hiyo inakua mwisho wa mchezo
Yaani mimi nivunje benki na niibe pesa halafu nikifikishwa mahakamani niseme nilitumwa na fulani.

Huo ndio utetezi wangu?
 
Back
Top Bottom