Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Jibu mlishapewa na chenge....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha angebaki ccm asingeguswa kwa sababu ni mwenzenu.Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Watanzania wengi wanajua kuwa CDM ni kichaka cha WEZI, MAFISADI na WAHUJUMU UCHUMI.
Lakini mimi nadhani waliomshauri wamempotosha sana. Kama ana makando kando ilitakiwa ayamalize kwanza ndipo aondoke. Kukimbia tatizo si kutatua tatizo bali no kuongeza tatizo.
Mimi fisadi kweli, endelea kushindia vitumbua na kubeba magazeti hapo Lumumba na nikipita na Range langu uendelee kusema jamaa noma sana dah ni tajiri wakati wewe soksi tu za 500 zimetobokaUsihamishe mada we fisadi!!
Wewe unauhitaji wa kupimwa uwezo wako wa kufikiri!Tutazaa naye tu huyo jangili hata akimbilie kwenye kitanda alicholalia fisadi mwenzake Tundu Lisu!
Walioifilisi nchi hii wataishi kama mashetani na wanaowatetea na kuwapamba kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari nao siku zao zimewadia.natamani nisikie dongo la mkuu kwa nyarandu...
Siasa maji taka ni mtu kujiunga na kundi la watu kwa ajili ya maslahi kwa kigezo cha wananchi wamekuchaguamwenye uelewa na siasa majitaka naomba anipe ufafanuzi.
Agenda kuu ya Upinzani wakati wa uchaguzi mkuu 2015, na kinachoendelea sasa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ni kwamba CCM ni Chama Cha Mafisadi, au kauli iliyozoeleka sana Chukua Chako Mapema.Hii nchi inafurahisha sana,yaani MTU akiwa upande wa kijani anakuwa mtakatifu sana,kimbembe huja akikihama chama cha kijani yaani hapo ndio kila story utaisikia,mlikua wapi kuandika haya kabla hajakihama chama?yaani kuhama chama tu tayari mnampa kashifa zote,.Ina maana unataka kutuamisha kuwa hapo walobaki kwenye chama ni wasafi saana?wanatakaswa na chama au?Kama we ni mzalendo kwa nini umesubiri Nyalandu kakihama chama ndio povu linakutoka?
Yaani mimi nivunje benki na niibe pesa halafu nikifikishwa mahakamani niseme nilitumwa na fulani.Hapo ni very simple case, Nyalandu atasema alipewa maelekezo na raisi wa nchi na hiyo inakua mwisho wa mchezo
Hivi Mange anawawasha na nini? Si mpotezeeniMwambieni 'Dada Mange' afute comments zake za kumtukana Nyalandu maana kushajiunga na Team Malofa