SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*BAADA YA SERIKALI KUANZA MAHOJIANO NA RAZALO NYARANDU KUHUSU KASHFA MBALIMBALI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII RASMI ATIMKIA CHADEMA.*
Baada ya Serikali ya awamu ya Tano kuanza kushughulikia kashfa mbalimbali zilizofanywa na baadhi ya viongozi waliokua madarakani katika awamu zilizopita za uongozi tayari baadhi ya watu waliobanwa na Serikali kwa kashfa hizo wameanza kuhamia upinzani hususani CHADEMA ili kuandaa mazingira ya kuonekana wameonewa baada ya kufikishwa Mahakamani.
Duru za ndani ya Serikali zinadai kuwa toka Mh. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Nyarandu amekua katika Wakati Mgumu akihojiwa kuhusu Mikataba Mbalimbali ya Kifisadi iliyisainiwa katika Kipindi ambacho amehudumu kama Waziri wa MALIASILI NA UTALII.
Baada ya kuhojiwa na Vyombo mbalimbali na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa Mh. Nyarandu aliingia mikataba mibovu na baadhi ya Makampuni ya Kigeni kwa maslahi yake binafsi ikiwa ni Pamoja na uuzaji wa Vitalu vya Uwindaji Pamoja na kashfa nzito ya Kupandisha ndege Twiga wa Tanzania na kuuza raslimali mbalimbali za Taifa ndipo Serikali ilipochukua maamuzi ya Kumfikisha Mh. Nyarandu Mahakamani.
Katika Kufanikisha adhima hiyo Wiki kadhaa zilizopita Mh. Rais alimteua Mh. Hamis Kigwangala kuwa Waziri wa MALIASILI NA UTALII ambaye ameanza kwa kufuta leseni zote za Uwindaji zilizotolewa na Mh. Nyarandu kwa makampuni ya Kigeni kwa misingi ya Rushwa. Baada ya kuvunjwa kwa mikataba hiyo na kurudisha Serikalini baadhi ya Vitalu vya uwindaji Mh. Nyarandu amekua katika Wakati Mgumu kwani wawekezaji aliosaini nao mikataba wamembana wakitaka arejeshe mara moja pesa zao Pamoja na fidia kwani ameonekana aliwatapeli kwa kuwahakikishia kuendesha Shughuri zao Nchini katika njia za Unyonyaji.
Kwa hiyo kutokana na shinikizo alilonalo toka kwa Makampuni hayo ya Kigeni na Kwa namna serikali ilivyodhamilia kumfikisha Mahakamani kwa makosa ya Uhujumu uchumi ameamua kukimbilia Upinzani ili atakaposhitakiwa ionekan Upinzani Nchini Tanzania unaonewa.
Baadhi ya Makada wakongwe ndani ya Chadema waliotoa maoni yao wameonyesha kuchukizwa kwao na jinsi watu wenye kashfa za Ufisadi wanavyokimbilia kwenye chama chao.
Ninadhani sasa huu ni mtego, kama tutampokea chama chetu litakua chaka la kupokea Mafisadi alisikika akisema Kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya Chadema.
*_Je Chadema watampokea Nyarandu wakijua kuwa atafikishwa Mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za Ubadhilifu, kuitia Nchi hasara na kufanya ufisadi mkubwa?_*
Tuendelee kusubiri Kuona maamuzi ya Chadema kuhusu Nyarandu.
Mwenye Kashfa hubaki ccm ili imlinde*BAADA YA SERIKALI KUANZA MAHOJIANO NA RAZALO NYARANDU KUHUSU KASHFA MBALIMBALI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII RASMI ATIMKIA CHADEMA.*

Le mutuz na Jerry Muro wapo busy kutengeneza Uzushi wanawinda nafasi mbili za ukuu wa wilayaHakuna kiongozi anayejijua ana kashfa anaweza kuhamia upinzani. Hakuna.

wameanza kuhamia upinzani hususani CHADEMA ili kuandaa mazingira ya kuonekana wameonewa baada ya kufikishwa Mahakamani.
Mikataba Mbalimbali ya Kifisadi iliyisainiwa katika Kipindi ambacho amehudumu kama Waziri wa MALIASILI NA UTALII.
kuhojiwa na Vyombo mbalimbali na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa Mh. Nyarandu aliingia mikataba mibovu na baadhi ya Makampuni ya Kigeni kwa maslahi yake binafsi ikiwa ni Pamoja na uuzaji wa Vitalu vya Uwindaji Pamoja na kashfa nzito ya Kupandisha ndege Twiga wa Tanzania na kuuza raslimali mbalimbali za Taifa ndipo Serikali ilipochukua maamuzi ya Kumfikisha Mh. Nyarandu Mahakamani.
Mh. Nyarandu amekua katika Wakati Mgumu kwani wawekezaji aliosaini nao mikataba wamembana wakitaka arejeshe mara moja pesa zao Pamoja na fidia kwani ameonekana aliwatapeli kwa kuwahakikishia kuendesha Shughuri zao Nchini katika njia za Unyonyaji.
Kwa namna serikali ilivyodhamilia kumfikisha Mahakamani
Ninadhani sasa huu ni mtego, kama tutampokea chama chetu litakua chaka la kupokea Mafisadi alisikika akisema Kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya Chadema.
Je Chadema watampokea Nyarandu wakijua kuwa atafikishwa Mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za Ubadhilifu, kuitia Nchi hasara na kufanya ufisadi mkubwa?_*
Kingwangwala kamkimbiza Nyalandu CCM!
Mbwa ndio anatikisa Mkia sio Mkia kutikisa Mbwa!
Nyalandu kachagua kujivua Nguo
Tutazaa naye tu huyo jangili hata akimbilie kwenye kitanda alicholalia fisadi mwenzake Tundu Lisu!
kama kweli Nyalandu ni mhalifu, mbona mwaka 2015 ninyi CCM mlimpitisha kugombea ubunge na hadi JPM alimpigia kampeni na hadi wakati huu mbona hamjamfukuza mwizi chamani kwenu?*BAADA YA SERIKALI KUANZA MAHOJIANO NA RAZALO NYARANDU KUHUSU KASHFA MBALIMBALI KATIKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII RASMI ATIMKIA CHADEMA.*
Baada ya Serikali ya awamu ya Tano kuanza kushughulikia kashfa mbalimbali zilizofanywa na baadhi ya viongozi waliokua madarakani katika awamu zilizopita za uongozi tayari baadhi ya watu waliobanwa na Serikali kwa kashfa hizo wameanza kuhamia upinzani hususani CHADEMA ili kuandaa mazingira ya kuonekana wameonewa baada ya kufikishwa Mahakamani.
Duru za ndani ya Serikali zinadai kuwa toka Mh. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Nyarandu amekua katika Wakati Mgumu akihojiwa kuhusu Mikataba Mbalimbali ya Kifisadi iliyisainiwa katika Kipindi ambacho amehudumu kama Waziri wa MALIASILI NA UTALII.
Baada ya kuhojiwa na Vyombo mbalimbali na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa Mh. Nyarandu aliingia mikataba mibovu na baadhi ya Makampuni ya Kigeni kwa maslahi yake binafsi ikiwa ni Pamoja na uuzaji wa Vitalu vya Uwindaji Pamoja na kashfa nzito ya Kupandisha ndege Twiga wa Tanzania na kuuza raslimali mbalimbali za Taifa ndipo Serikali ilipochukua maamuzi ya Kumfikisha Mh. Nyarandu Mahakamani.
Katika Kufanikisha adhima hiyo Wiki kadhaa zilizopita Mh. Rais alimteua Mh. Hamis Kigwangala kuwa Waziri wa MALIASILI NA UTALII ambaye ameanza kwa kufuta leseni zote za Uwindaji zilizotolewa na Mh. Nyarandu kwa makampuni ya Kigeni kwa misingi ya Rushwa. Baada ya kuvunjwa kwa mikataba hiyo na kurudisha Serikalini baadhi ya Vitalu vya uwindaji Mh. Nyarandu amekua katika Wakati Mgumu kwani wawekezaji aliosaini nao mikataba wamembana wakitaka arejeshe mara moja pesa zao Pamoja na fidia kwani ameonekana aliwatapeli kwa kuwahakikishia kuendesha Shughuri zao Nchini katika njia za Unyonyaji.
Kwa hiyo kutokana na shinikizo alilonalo toka kwa Makampuni hayo ya Kigeni na Kwa namna serikali ilivyodhamilia kumfikisha Mahakamani kwa makosa ya Uhujumu uchumi ameamua kukimbilia Upinzani ili atakaposhitakiwa ionekan Upinzani Nchini Tanzania unaonewa.
Baadhi ya Makada wakongwe ndani ya Chadema waliotoa maoni yao wameonyesha kuchukizwa kwao na jinsi watu wenye kashfa za Ufisadi wanavyokimbilia kwenye chama chao.
Ninadhani sasa huu ni mtego, kama tutampokea chama chetu litakua chaka la kupokea Mafisadi alisikika akisema Kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya Chadema.
*_Je Chadema watampokea Nyarandu wakijua kuwa atafikishwa Mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za Ubadhilifu, kuitia Nchi hasara na kufanya ufisadi mkubwa?_*
Tuendelee kusubiri Kuona maamuzi ya Chadema kuhusu Nyarandu.
Kadsh la ccm hilo limepitsMiaka mingi ukiuliza mtu wa upinzani kwanini nchi haina maendeleo atakwambia mfumo,ukimuuliza mfumo nini ,atakujibu mfumo ni utaratibu wa ccm wanavyoiba,ukiuliza ni kina nani walio nyuma ya huo mfumo na wanaratatibu watakuambia ni nyalandu,lowassa,sumaye,rostam hao wakiondoka ccm itakua chama bora,
Na mtu ambae hana kashfa ni magufuli hizi ni kauli walikua wakizitoa mwaka 2014 mungu sio mashinji ghafla mungu akataka kutuonyesha kua watu hao waangalie midomo yao na nyuso za ni tofauti yaani ni wanafiki,
Mpaka kufika 2015 zile taka taka zote zimejificha ndani ya stoo yao, choo wamekitoa nje wamekiingiza chumbani,wale waliowapigia kelele na kuaminisha wale wafuasi wao watiifu kwamba hawa watu hawafai sasa wamewabadilishia beti na hakuna wa kuhoji wala kukumbusha kwamba mlituambia ccm ni mfumo mbona ule mfumo umehamia kwetu na mmeupokea wote.
Huyu mmoja mlimuita mr ziro lakini tumempa uenyekiti,hili fisadi namba moja tulimpa bendera ya uraisi,huyu jangili muuza vitalu tumempokea kwa mbwe mbwe vipi hapa,
Hoji upotee na kuitwa msaliti na ukifukuzwa uanachama katiba hairuhusu kwenda mahakamani kama huamini hilo muulize zitto mwigamba,shonza,kitila na kafulila.
Ccm ni chama imara na ni sawa na jiti kubwa kila likijinyoosha na kuzidi kukua magome dhaifu huanguka hivyo ccm inayoendelea ndio ccm ya kweli,
Tunashangaa na kujiuliza mbona wafuasi watiifu wanashangalia mfumo kuhamia kwao au ndio ile hata kiongozi akikimbia bila nguo mtaani kwa kujitoa ufahamu watasema ana nguo,
Ccm ilivamiwa na mafisadi yameondoka,ccm ilikua na majangili yamejipima na kujitathimini yameamua kuchukua maamuzi,ccm walikua na wezi wa kushikilia mahekari ya ardhi wameondoka na juhudi kubwa za rais ni kurudisha ardhi yote iliyoporwa kipindi cha uongozi wa mfumo.
Hivi sasa mfumo upo ndani ya chadema!
CCM IMARA NDIO INAONEKANA KUELEKEA 2020
Msitu umetiwa moto wadudu na wanyama hawana pa kujificha!
Kabla ya kuandika mambo mengine kama kuna mtu jirani muoneshe kwanza kama kinafaa kukipost
mkuu, ukimgusa Chenge utafukua makaburi ya wahenga wengi CCM.Habari Comrades,
Ukitaka kupima jinsi watu wa CCM walivyochoka kufikiri, wanamshutumu sana Nyalandu hivi sasa kwasababu tu ameamua kuhama na kwenda kuitafuta Demokrasia ya kweli..
Oohh mara Nyalandu fisadi, mara Nyalandu jangili ooh mara Nyalandu mwizi nk nk.
Yote mnayasema hayo wakati kwa hivi sasa mna kubwa lao Chenge mpo nae hivi sasa hapo CCM na maisha yapo poa tu.
Kama ninyi ni watu serious kweli kwanini msimshugulikie Chenge kwa kashfa zote alizo nazo!? Chenge ameingizia hasara ngapi hii Nchi na mpo nae tu??
Mnasubiri nae ahame??
Mshugulikieni Chenge kama nyie wanaume kweli.