hata hoja yangu hujaijibu, kwenye haki na ukweli lazima atetewe, wewe umeshindwa kuona kuwa hata humu jf pekee amesemwa kwa takriban miaka 7 kuwa ni mfuja mali?[/QUOTE
For seven years mtu anafuja mali na ushahidi upo ,kwa nini wanamtazama tu. Mimi ninasema kama mtu anamakosa achukuliwe hatua hata kama yupo CCM , lakini si kusuburi ahame ndiyo aanze kuonekana ana makosa. Chenge yule pale kasemwa sana, lakini kafanywa nini? Sasa ole wake shame, utaona kitakachotokea. Mayige yule pale akinunua nyumba cash $700,000, amefanywa nini?