Baada ya Serikali kuruhusu rasmi Mabasi Kusafiri 24hrs haya ndiyo Maombi yangu Makuu kwa Wahusika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti.

Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz

2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria ndani ya Mabasi hayo kuwa ikifika tu Saa 1 za Usiku Taa za Ndani ya Mabasi zisiwashwe labda tu kuwe na dharula.

Nimelipokea hili kwa Furaha mno tu.
 
Unafikiri wote utakaosafiri nao watakuwa wa rika lako? Ukiwekwa seat jirani na kikongwe utaafiki kwa kuwa tu ni jinsia tofauti?
 
1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti.

Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz

2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria ndani ya Mabasi hayo kuwa ikifika tu Saa 1 za Usiku Taa za Ndani ya Mabasi zisiwashwe labda tu kuwe na dharula.

Nimelipokea hili kwa Furaha mno tu.
😅😅😅 mapenzi ya emergency kwenye basi.. huwa 🔥🔥 mnaweza jazana upepo mkashukia kati kati ya safari.. mchawi kibundaaaa 🤣🤣🤣
 
1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti.

Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz

2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria ndani ya Mabasi hayo kuwa ikifika tu Saa 1 za Usiku Taa za Ndani ya Mabasi zisiwashwe labda tu kuwe na dharula.

Nimelipokea hili kwa Furaha mno tu.
Naunga mkono hoja
 
Tunda kimasihara ni uhakika
Kukaa siti moja na mrembo ni mtihani mkubwa bora nipigwe panga nitaweka kuvumilia maumivu yake.

Nilishawahi kupanda daladala Dar es salaam limejaa nimesimama mrembo yuko mbele halafu options ni mbili ukwepe mrembo umpe mzigo wako mwamba wa pembeni ,ilikuwa mtihani sana wanaume tunapitia mambo mengi..
 
TUpia picha
 
Back
Top Bottom