GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unafikiri wote utakaosafiri nao watakuwa wa rika lako? Ukiwekwa seat jirani na kikongwe utaafiki kwa kuwa tu ni jinsia tofauti?1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti.
Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz
2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria ndani ya Mabasi hayo kuwa ikifika tu Saa 1 za Usiku Taa za Ndani ya Mabasi zisiwashwe labda tu kuwe na dharula.
Nimelipokea hili kwa Furaha mno tu.
Amen Barikiwa, juzi tumetoka Dar alfajiri na tukafika saa kumi alfajiri ya siku iliyofuata, MUNGU mwema!MIMI NITAKAA NA YESU NDANI YANGU ANIFIKISHE SALMA.
BIBLIA INASEMA IKIMBIENI ZINAA.
USIZINI.
MUNGU AKUKEMEE.
Ulikuwa unaenda NDOLA nini 🤣🤣🤣Amen Barikiwa, juzi tumetoka Dar alfajiri na tukafika saa kumi alfajiri ya siku iliyofuata, MUNGU mwema!
😅😅😅 mapenzi ya emergency kwenye basi.. huwa 🔥🔥 mnaweza jazana upepo mkashukia kati kati ya safari.. mchawi kibundaaaa 🤣🤣🤣1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti.
Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz
2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria ndani ya Mabasi hayo kuwa ikifika tu Saa 1 za Usiku Taa za Ndani ya Mabasi zisiwashwe labda tu kuwe na dharula.
Nimelipokea hili kwa Furaha mno tu.
Emergency love Connection🤣😅😅😅 mapenzi ya emergency kwenye basi.. huwa 🔥🔥 mnaweza jazana upepo mkashukia kati kati ya safari.. mchawi kibundaaaa 🤣🤣🤣
hizi tamuu.. sana.. unakuta mnatoka mwanza kuelekea dar es salaam.. nuie mnashukia dom au moro.. mnakiwashaa kishenzii 😅😅Emergency love Connection🤣
Hahahahahah kisha mnaendelea na safari🤣hizi tamuu.. sana.. unakuta mnatoka mwanza kuelekea dar es salaam.. nuie mnashukia dom au moro.. mnakiwashaa kishenzii 😅😅
Naunga mkono hoja1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti.
Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz
2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria ndani ya Mabasi hayo kuwa ikifika tu Saa 1 za Usiku Taa za Ndani ya Mabasi zisiwashwe labda tu kuwe na dharula.
Nimelipokea hili kwa Furaha mno tu.
Kukaa siti moja na mrembo ni mtihani mkubwa bora nipigwe panga nitaweka kuvumilia maumivu yake.Tunda kimasihara ni uhakika
TUpia pichaKukaa siti moja na mrembo ni mtihani mkubwa bora nipigwe panga nitaweka kuvumilia maumivu yake.
Nilishawahi kupanda daladala Dar es salaam limejaa nimesimama mrembo yuko mbele halafu options ni mbili ukwepe mrembo umpe mzigo wako mwamba wa pembeni ,ilikuwa mtihani sana wanaume tunapitia mambo mengi..
Subiri kwanza nado naisikilizia..TUpia picha