Baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran kufeli, wafuasi wake hawaamini na wamebabaika

Sasa mkuu huoni kama kuomba msamaha ni njia ya kuonyesha uungwana? Au wewe kwako unaona ni bora kukaza fuvu wakati unakwaza mtu mwingine?
Udini ni uraibu mbaya kuliko unavyodhani mkuu. Mtu mwenye uraibu wa udini sio rahisi kuacha!

Nilikuja kiuchokozi ili nione kama kweli msamaha wako umetoka kumoyo, ila naona umefanikiwa kuruka kiunzi, kudos!
 
Nimekuuliza kuwa huu ndo ushahidi wako?
 
Kwa hiyo huo ndo ushahidi wako?
 
lakini Iran amepeleka malalamiko Umoja wa Mataifa kulalamika kipigo ndugu, au hawajakuambia wewe msemaji wao.
 
Iran imepeleka malalamiko ya kukiukwa kwa mamlaka yake hiyo ndo desturi ,hata Israel alipo shambuliwa na Iran akifanya hivyo.
lini israel ilipeleka shauri UN? mbona hujielewi bro.
 
Kwani Iran wenyewe wanasemaje? maana walituambia Israel akirudisha kidogo akaacha Mafuta Gas na Nuclear ugomvi utakuwa umeisha
 
Y
Ayatollah Khamenei kupata tumbo la kuharisha bila kikomo tangu shambulizi limefanyika mpaka leo hii nayo sio madhara?
 
Ila Wafrika mna akili finyu sana, mtu mmoja huyo mudi kawashikia akili zenu mpaka unaona fahari kufuga majini na unayaita ndugu zako. Mudi alikuwa mwarabu jiulize wew ni mwarabu? Una undugu gani na majini?
Hahahahaahah πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ mhudi mudi amewapoteza wengi
 
Kama kawaida wayahudi wa kiembe mbuzi huwa hamkosi kuja kupingana na ukweli.
Wavaa makobazi aka wajukuu wa Mudi mnajifurahisha mifumo ya iran ilishindwa kuwalinda Nasrallah na Sinwar mbona πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„
 
Wavaa makobazi aka wajukuu wa Mudi mnajifurahisha mifumo ya iran ilishindwa kuwalinda Nasrallah na Sinwar mbona πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„
Drone 1 tu ya houth imetembea Israel zaidi ya kilometres 200 kutoka mpakani hadi Tel Aviv kupiga nyumba ya Netanyahu. Sasa nyinyi wavaa pampas mnaweza kutuambia kuwa Iron Dome na THAAD zilikuwa wapi? Na zilishindwaje kui zuia kule kule mpakani kabla ya kufika kwa Netanyahu!

Je zingekuwa drone 10 pamoja hali ingekuaje?
 
Nyumba ya Netanyahu imepigwa kwa hiyo na akafa kama Nasrallah?
 
Nyumba ya Netanyahu imepigwa kwa hiyo na akafa kama Nasrallah?
Wewe naona una ubishi wa kitoto na usiokuwa na maana. Kama Netanyahu na genge lake anawategemea watu kama wewe kumtetea, basi ana hasara sana.

Hapo juu wewe umezungumzia mifumo ya ulinzi ya Iran kushindwa kuwalinda viongozi wa Hezbollah. Sasa mimi nikakuonesha mifumo ya ulinzi ya Marekani, Israel, Uingereza, Ufaransa nk pale Israel kushindwa kuilinda Israel mpaka nyumba ya kiongozi mkuu na kambi za jeshi kibao kushambuliwa kila siku. Sasa wewe kwa utoto wako, umaamua kuhamisha magoli. Hili halijakwisha unahamia kwengine. Kama ni mtihani tayari ushafeli.
 
Netanya
NETANYAHU and his team are fit and kicking while hisbollah and hamas leadership are being decimated.
Hamas is as a fighting force is all but finished. Hisbollah is Puting some sporadic resistance but it's a matter of time the head of the octopus itself being βœ‚οΈ
 
Hili suala limemuumiza sana grand Ayotollah. Alijaribu kukaa Nalo moyoni akashindwa Sasa kaamua kulipiza.Kaona Acha mbuai iwe mbuaiπŸ€”
 
Unatamani iwe hivyo ila haitatokea.
Hamas na hizbollah bado wanaendeleza mashambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…