Kuna watu mna roho ngumu.Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.
Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.
Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Haupo kwenye list brotherHawakuwa na uwezo huo
Jumuiya ya Mtakatifu Yuda Tadei.Jumuiya ipi hiyo kamanda?
Haha ,kumbe waliokuwa wanatoa ushirikianoMuliro awalipe Polisi wa Watu, Askari wa Watu wako Mjini hawajapewa hata Mia Hadi muda huu.
Wataanza kujiuza Mjini hapa. Walipeni stahiki zao
Lengo la kukamatwa ilikuwa kuzuia maandamano! Polisi wanajua kuwa wakiwaachia hawaandamani tena hadi watakapojipanga tena upya!Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Count down starts...! 7 days left!!Hawajui watupe kesi gani, Muliro hana uwezo na tutahakikisha anang'olewa Dar es Salaam, Tupe wiki moja tu
Sasa wakikamatwa wote, nani ashughulikie dhamana?Kwanini wewe na mnyika hamjakamatwa?
Subutu yao! Wanaokwenda kupiga faru Joni wapunguze stress huku wakifikiria namna ya kutoa matamko ya kulaani jeshi la polisi japo laana zao ni Dua la kuku ambalo halimpati mwewe hata siku Moja.Kama kweli walikuwa na nia ya kweli ya kuandamana na siyo usanii watangaze kuendelea na maandamano hapo kesho
Kwani wewe uliandamana?!Hawajui watupe kesi gani, Muliro hana uwezo na tutahakikisha anang'olewa Dar es Salaam, Tupe wiki moja tu
Unauliza majibuKwani wewe uliandamana?!
Kutumwa kama mifugo kunahitaji pongezi gani?Lengo la kukamatwa ilikuwa kuzuia maandamano! Polisi wanajua kuwa wakiwaachia hawaandamani tena hadi watakapojipanga tena upya!
Mimi nalipongeza sana jeshi letu bora la polisi wamefanya kazi nzuri sana.
Hamieni kwa wazungu!View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Hatuwezi kuacha Nchi yetu inauzwa kwa WaarabHamieni kwa wazungu!
Maskini, wamejaa sura za kukata tamaa
Huo NAO Ni uchawiKama kweli walikuwa na nia ya kweli ya kuandamana na siyo usanii watangaze kuendelea na maandamano hapo kesho
Siyo kweli, walikuwa na hila na mipango ya uovu ya ubambikaji wa kesi kubwa za mchongo..Hao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkome!Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.
Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.
Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Wote ni mashetani[emoji23][emoji23][emoji23]Mkome!
Nikikumbuka coment za kejeli kwa magu na sifa zenu kwa huyu chura kiziwi kuanzia ile 2021 huwa nawadharau sana machadema