Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.

Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.

Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Kuna watu mna roho ngumu.
 
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.

Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.

Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Lengo la kukamatwa ilikuwa kuzuia maandamano! Polisi wanajua kuwa wakiwaachia hawaandamani tena hadi watakapojipanga tena upya!
Mimi nalipongeza sana jeshi letu bora la polisi wamefanya kazi nzuri sana.
 
Kama kweli walikuwa na nia ya kweli ya kuandamana na siyo usanii watangaze kuendelea na maandamano hapo kesho
Subutu yao! Wanaokwenda kupiga faru Joni wapunguze stress huku wakifikiria namna ya kutoa matamko ya kulaani jeshi la polisi japo laana zao ni Dua la kuku ambalo halimpati mwewe hata siku Moja.
 
Lengo la kukamatwa ilikuwa kuzuia maandamano! Polisi wanajua kuwa wakiwaachia hawaandamani tena hadi watakapojipanga tena upya!
Mimi nalipongeza sana jeshi letu bora la polisi wamefanya kazi nzuri sana.
Kutumwa kama mifugo kunahitaji pongezi gani?
 
Hao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
Siyo kweli, walikuwa na hila na mipango ya uovu ya ubambikaji wa kesi kubwa za mchongo..
 
Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.

Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.

Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkome!

Nikikumbuka coment za kejeli kwa magu na sifa zenu kwa huyu chura kiziwi kuanzia ile 2021 huwa nawadharau sana machadema
 
Back
Top Bottom