akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Lkn huyu hajafikia hata robo ya yule, yule alikuwa Beduwi.Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.
Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.
Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Acha ujinga wewe chawa!Hao wameachiwa na si kwa shinikizo la watu au wazungu, wamehojiwa na kutoa maelezo na kuachiwa, kiroho safi, na jeshi letu lenye weledi mkubwa linalozingatia sheria na taratibu zake juu ya wanaokamatwa,
Mtu ambaye hujaenda popote huwezi kuyajua haya, endelea kuvishwa fulana za ccmHabari ya Mungu abariki wazungu ni ujinga usiokubalika kwa Mungu mwenyewe.
Waafrika tunatakiwa tujitambue, tujipende kwa mustakabali mwema wetu wenyewe na vizazi vyetu vijavvyo. Huu ujinga wa fikra kama za wanyama na wadudu kupambana wenyewe kwa wenyewe tukitegemea msaada wa wegine ukome. Tuishi kwa kuheshimiana na kwa faida ya jamii yote kama binadamu.
Mbona hujaweka washinikizaji?View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
NaamErythrocyte Ulikwenda kwenye maandamano?
Mhe.Mnyika ana maombi ya kufungaWewe na Mnyika mmewasaliti viongozi wenu! Mmeingia mitini
Hawa jamaa akili zao zote ziko kwa wazungu / wazungu si wema sana, shauri yenu.
Ndiyo tumewaachia sasa, waandamane tena kama hatujawarudisha tuliko watoa!!View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
Leo umedhihirisha usaliti wako kwa MboweHujui kitu kapuku wewe
Nilijua tu, Samia anajitekenya na kucheka mwenyewe,acheze na wengine lakini sio Anko Sam(USA), ataumia, vibaya Sana, Anko Sam akiamua ku "destabilize" Samia ataiona hata kizmkaz pa moto,View attachment 3104786
View attachment 3104787
View attachment 3104789
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina.
HakikaNilijua tu, Samia anajitekenya na kucheka mwenyewe,acheze na wengine lakini sio Anko Sam(USA), ataumia, vibaya Sana, Anko Sam akiamua ku "destabilize" Samia ataiona hata kizmkaz pa moto,
Kwenda popote maana yake nini? Fikra zako zinakuelekeza kuabudu wazungu.Mtu ambaye hujaenda popote huwezi kuyajua haya, endelea kuvishwa fulana za ccm
Faida ya Taifa ni kumuua Mzee Ally Kibao?Kwenda popote maana yake nini? Fikra zako zinakuelekeza kuabudu wazungu.
Wazungu ni wezetu, tunaishi nao, tunafanya harakati za maisha nao, ofisi moja na wapo wajinga wengi kuliko hata wewe.
Jambo muhimu ni kujua ukweli wenye manufaa kwa taifa (weusi) bila kujali chama.
Hayo mawazo ya kizamani kuhusu kwenda nje ya nchi yalishapitwa na wakati, siyo hoja tena. Hata wajinga huenda popote duniani. Zama zimebadilika. Usiwe kijibwa (puppet).
Elewa kwamba, mtu mweye akili, anajadili hoja kwa weledi, kwa faida ya taifa kwanza, vyama na makundi yake baadaye.
Hata mataifa makubwa duniani yalianza hivyo.
Una fikra za kitumwa,Samia ana Presidential powers kwa taarifa yako! Somo la Presidential power ni siku nyingine tena!!!Nilijua tu, Samia anajitekenya na kucheka mwenyewe,acheze na wengine lakini sio Anko Sam(USA), ataumia, vibaya Sana, Anko Sam akiamua ku "destabilize" Samia ataiona hata kizmkaz pa moto,
Hivi hata huko kanisani Mnyika anasali huku anasema Samia must Gooooooooo!!!?? Au ana slogan mpya Mbowe must goooooo!!??Maskini Mnyika wa watu, kakimbia hadi kaingia kanisani na kachukua biblia anasali humo ndani kwenye altare, anaomba Mungu hiki kikombe kisimfike, mseminari wa watu analazimishwa tu kuandamana..!!
Hamna cha shinikizo la Kimataifa wala nini.View attachment 3104786