Kwenda popote maana yake nini? Fikra zako zinakuelekeza kuabudu wazungu.
Wazungu ni wezetu, tunaishi nao, tunafanya harakati za maisha nao, ofisi moja na wapo wajinga wengi kuliko hata wewe.
Jambo muhimu ni kujua ukweli wenye manufaa kwa taifa (weusi) bila kujali chama.
Hayo mawazo ya kizamani kuhusu kwenda nje ya nchi yalishapitwa na wakati, siyo hoja tena. Hata wajinga huenda popote duniani. Zama zimebadilika. Usiwe kijibwa (puppet).
Elewa kwamba, mtu mweye akili, anajadili hoja kwa weledi, kwa faida ya taifa kwanza, vyama na makundi yake baadaye.
Hata mataifa makubwa duniani yalianza hivyo.