Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

Mama Samia ni msikivu na muungwana sana atakaa nao na kuelewana kulijenga taifa pamoja. Namshauri arithia kuongoza pamoja kama ili kuondoa uhasama Utanganyika na Uzanzibar.
Naiona hiyo inakuja Very soon 🔜 🇹🇿 🙏
 
Mungu atuondolee na huyu wa sasa kama alivyofanya kwa yule mwingine.

Aliona nchi ni kama mali yake ila kaicha kama alivyoikuta.

Mungu fundi sana. Bado huyu nae kaota mapembe.
Mlio mna mwamba…. Mkapewa magu, mkalalama weeeeee mkapewa mama mpole, mkaa za kumdharau, sasa anawanyoosha

Mungu hawezi kuendekeza ubwege

Mkapa… mlimdharau
Jakaya…. Mlimbeza hasi aliwanyoosha enzi za mwangosi mkatulia

Mkawasaliti wengi sana - wakawakimbia, na mkauza 2025 hadi mzee wa mihogo akarudisha timu kambani

Kuna shida

Maandamano yameprove filmee

Drama
Mara Mbowe kizuizini home, mara kafika magomeni, mara kaongea na waandishi, mara kaswekwa rumande, Mara huyo huru kwa presha za wafadhili…. All the drama, ni filmee yake na polisi
 
Ni hivi, Wengi hawana Uwezo wanateuliwa kwa vile ni Makada, na wanajua ccm iking'olewa wanaondoka na watakamatwa
 
Leo umedhihirisha usaliti wako kwa Mbowe
Mhe.Mbowe ni akili kubwa kawadeshi mkaingia chaka 😁😁😁 na hajasalitiwa na wanaCHADEMA utajua hujui,huo mkakati kwenu CCM akili ndogo ni chenga ya mwili,kweli amini CCM wamefika mwisho wa kufikiri.Mbona mmewaachia usiku wa manane?
 
Ndiyo tumewaachia sasa, waandamane tena kama hatujawarudisha tuliko watoa!!
Mtawaachia bila kupenda usiku wa manane kabla jogoo hajawika. #3 zaidi mtaonyesha mnavyotumia kodi za wanaCHADEMA kuwalipa posho POLISI.
 
kamalizie home work zako, ndio uje ujifunze siasa. kinachotokea sasa ndio CDM walipanga. Kwani ulifikili uoga wa watu kuandamana kwa hapa nchini chadema hawaujui.
Mimi sio boya kama wewe Dogo. Nakumbuka vizuri hotuba ya Mbowe alipokuwa anatangaza kuwepo kwa maandamano. HAKUNA HATA MOJA lililofanikiwa. Sema nyumbu mna namna ya kujifariji na inakubarika ili kuficha aibu! Ahahahahaha!!!
 
Reactions: UCD
🚮🚮🚮
 
Watanzania wamewakataa ndio maana mnakimbilia kwa mabeberu!
 
House nigger anapojipa matumaini ya uongo.Dhamana ni haki ya mtuhumiwa kutegemeana na kesi anayotuhumiwa nayo.
Mabeberu unaodai wametoa shinikizo wangeshinikiza kama wanaweza muandamane.
Uncle Tom hiyo ni wishful thinking hakuna yeyote anayeweza kutushinikiza kwa lolote lile.
Ukoloni mamboleo muda wake umekwisha.
 
Hakuna shinikizo wala nini

Baba ndubwi alipoona kapuuzwa akaenda migo, akajikamatisha, baadaye wakampa free asepe

In short hakuna cha kuripoti
 
Reactions: Tui
Jamaa alikuwa uvunguni.Ametokeza wallioshikwa walipopewa dhamana. Fuatilia posti za jana.Kukojoa na kunya alitumia kopo.
ALL IN ALL THESE DUDES HAVE KEPT THEIR HEADS UP
 
Mimi sio boya kama wewe Dogo. Nakumbuka vizuri hotuba ya Mbowe alipokuwa anatangaza kuwepo kwa maandamano. HAKUNA HATA MOJA lililofanikiwa. Sema nyumbu mna namna ya kujifariji na inakubarika ili kuficha aibu! Ahahahahaha!!!
mtoto wa darasani, soma sana usaidie taifa kupunguza wajinga
 
Kuachiwa kwa dhaman ni haki yao kisheria lakini kuwasifia wazungu eti wameshinikiza na kumwobea dua nzuri aliyekutawala,akakunyonya,akakudhalilisha,akakuibia na mali ghafi zako ni hatua nyingine ya utumwa na ujinga wa kizazi chetu hiki.Hawashinikizi ili wapate dhamana eti wanawapenda sana,hapana.Ni iwapo wataingia madarakani waanze kuvuna tena na kuiba kwani watawafanya vibaraka wao. Pamoja na kushinikaiza kwao wapate dhamana,Mwenyezi Mungu azidi kuwalani wazungu hawa kwa yote maovu waliyofanya huko nyuma.Ni majizi tu,hayana wema wowote.Laana-tu-llah illaih !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…