ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Naiona hiyo inakuja Very soon 🔜 🇹🇿 🙏Mama Samia ni msikivu na muungwana sana atakaa nao na kuelewana kulijenga taifa pamoja. Namshauri arithia kuongoza pamoja kama ili kuondoa uhasama Utanganyika na Uzanzibar.