Kuna member mmoja humu jamii forum aliwahi kukomenti kwamba siku kesi ya Mbowe na wenzake ikimalizika tutaona nyeti za pahala fulani hadharani [emoji3] jina nimemsahau
Nauona mpambano wa Uchawa Utakaopamba Moto kwa Ccm kati ya Chadema na Act-W.
.
Kila mtu atajipendekeza kwake, kila mtu ataomba kukutana na Chief State House.
.
Kila Chama kitataka kiwe mtetezi wake.