Baada ya startv kusimamisha watangazani wake, hivi hao waandishi wameshindwa kuja na digital platform yao kama Millard?

Baada ya startv kusimamisha watangazani wake, hivi hao waandishi wameshindwa kuja na digital platform yao kama Millard?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nadhani hawa waandishi wakiji-organise, wanaweza kuunda online TV nzuri tu, wasikariri kuajiriwa, tena wametapakaa nchi nzima, na Wana connection ya vyanzo vya habari
 
sio online tv tu wanaweza kuunda kituo cha tv kabsa tena chini ya milioni 2 kika patikana kwenye kingamuzi cha azam nk wakiitaji wanicheki
 
Utasikia wanasema mtaji.

Kila anayetoka skuli mategemeo yake makubwa ni ajira not kujiajili na kwa sababu ndiyo katika skuli naweza kusema sawa apate uzoefu wa kazi akiwa na wazoefu pamoja na kutengeneza koneksheni.

Ila kwa mwandishi aliyekaa kwenye ajira miaka 2-5 inatosha kujua A, B, C so hadi hapo hakuna kisingizio.

Mkuu chiembe umeleta uzi mzuri sana wenye wazo positive hapo ni mtu/watu wenyewe wachemke na hii.
 
Huu ni uzi wangu bora kwa mwaka huu 2023. Kina Nyanda na wenzake wana majina wangeweza kufanya kitu aisee. Mtaji muhimu wa taaluma na uzoefu kwanye tasnia ya habari ungeweza kufanya watu waweke hele kwenye wazo lao la kibiashara.
 
Back
Top Bottom