Noma sana!Nadhani hawa waandishi wakiji-organise, wanaweza kuunda online TV nzuri tu, wasikariri kuajiriwa, tena wametapakaa nchi nzima, na Wana connection ya vyanzo vya habari
Employees minded people forms Union.Umoja ndio tatizo
wanaweza shida ni kukosa ubunifu na moyo wa kuamuaNadhani hawa waandishi wakiji-organise, wanaweza kuunda online TV nzuri tu, wasikariri kuajiriwa, tena wametapakaa nchi nzima, na Wana connection ya vyanzo vya habari
AiseeWote, tajiri hana Hela, tv inapiga miziki, taarifa ya habari, bbc
Kweli kabisaUnadhani wote humu wanajua kuhusu watangazaji hao??