PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serikali dhalimu haramu ya kikaburu ya CCM inatumia vyombo vibaya sana, leo mwenyekiti anatukumbusha yanayofayika gerezani, kujaribu kumvunja nguvu mwenyekiti, wanachama na watanzania wote wanaotaka mabadiliko.

Tuendelee kufuatilia kesi hii bila kuchoka.

09 February 2026​

Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania Opposition Leader Appears In Court For Treason Trial​


View: https://m.youtube.com/watch?v=yk9FOpLlDqg
Tanzanian opposition leader Tundu Antipas Lissu today, 09th of February 2026 appeared in court for his latest hearing in a treason trial in which he faces a potential death penalty.
 
Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri ameishia kusema hebu tuendeleee basi mshitakiwa

Lengo la Jaji lilikuwa Nini
Seating na session

Mbona kama alitaka kuposha mahakama
 

EPISODE 15: TUNDU LISSU AKIWASHA VIBAYA MNO MAHAKAMANI AIPANGUA HOJA YA JAJI " JAJI KIMYAA "​

Tundu Lissu Treason case 19605/2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=czD88qT9CDU
Kinachoendelea mahakamani ni Leo mawakili wa Jamhuri kujibu pingamizi la Tundu lissu kuhusu shahidi WA Siri p11 ambaye ni shahidi namba 4 katika ...
 
Tundu Lissu: Jeshi halina mamlaka yoyote ya kuzuia watu kukutana na ndugu, marafiki gerezani ni kinyume cha sheria.
 
Tundu Lissu: Jeshi la magereza linaongozwa na amri kutoka juu na sio sheria huko juu ni wapi juu mbinguni au ?
 
Lissu ni habari nyingine kabisa kwenye sheria, unaona kabisa majaji na mawakili wa serikali wanavyopwaya
 
09 February 2026

Kesi yahairishwa na kupigwa kalenda hadi tarehe 11 February 2026

Kesi ya uhaini namba 19605 / 2025 inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Tundu Lissu imehairishwa hadi tarehe 11 mwezi WA pili 2026 ambapo majaji watakuja kutoa uamuzi mdogo kufuatia mapingamizi ya Tundu Lissu.

Dada wa Tundu Antipas Lissu azungumza

View: https://m.youtube.com/watch?v=VybyHz1r-4U
 
09 February 2026
Mahakama Kuu ya Tanzania
Kivukoni Front
Dar es Salaam

HECHE AKIWASHA MAHAKAMANI KESI YA LISSU, ATAKA LISSU AACHIWE HURU, AFUNGUKA MAZITO​


View: https://m.youtube.com/watch?v=M8d-VdH3fLc
Kesi iliyo mbele ya jopo la majaji watatu ya uhaini namba 19605 / 2025 inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Tundu Lissu iliyoanza kusikilizwa leo tarehe 09 February 2026 baada ya kuhaihirishwa toka mwishoni mwa mwaka 2025 tarehe 12 November.

Leo tena imehairishwa hadi tarehe 11 mwezi WA pili 2026 ambapo majaji watakuja kutoa uamuzi mdogo kufuatia mapingamizi ya Tundu Lissu.

Hadi sasa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amekaa jela siku 307
 
Huyo shahidi kwenye kibox ni atakuwa ni pimbi gani huyo?
 
Back
Top Bottom