Serikali dhalimu haramu ya kikaburu ya CCM inatumia vyombo vibaya sana, leo mwenyekiti anatukumbusha yanayofayika gerezani, kujaribu kumvunja nguvu mwenyekiti, wanachama na watanzania wote wanaotaka mabadiliko.
Tuendelee kufuatilia kesi hii bila kuchoka.
09 February 2026
Dar es Salaam, Tanzania
Tanzania Opposition Leader Appears In Court For Treason Trial
View: https://m.youtube.com/watch?v=yk9FOpLlDqgTanzanian opposition leader Tundu Antipas Lissu today, 09th of February 2026 appeared in court for his latest hearing in a treason trial in which he faces a potential death penalty.
Tundu Lissu Treason case 19605/2025 View: https://m.youtube.com/watch?v=czD88qT9CDUKinachoendelea mahakamani ni Leo mawakili wa Jamhuri kujibu pingamizi la Tundu lissu kuhusu shahidi WA Siri p11 ambaye ni shahidi namba 4 katika ...
Kesi yahairishwa na kupigwa kalenda hadi tarehe 11 February 2026
Kesi ya uhaini namba 19605 / 2025 inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Tundu Lissu imehairishwa hadi tarehe 11 mwezi WA pili 2026 ambapo majaji watakuja kutoa uamuzi mdogo kufuatia mapingamizi ya Tundu Lissu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=M8d-VdH3fLcKesi iliyo mbele ya jopo la majaji watatu ya uhaini namba 19605 / 2025 inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Tundu Lissu iliyoanza kusikilizwa leo tarehe 09 February 2026 baada ya kuhaihirishwa toka mwishoni mwa mwaka 2025 tarehe 12 November.
Leo tena imehairishwa hadi tarehe 11 mwezi WA pili 2026 ambapo majaji watakuja kutoa uamuzi mdogo kufuatia mapingamizi ya Tundu Lissu.
Hadi sasa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amekaa jela siku 307