Nimefurah SANA Sana kusikia Baraza la Maaskofu kupitia Rais wao Tec akitoa maazimio ya kikao kilichofanyika ikulu ya DODOMA
Kwanza nawapongeza maaskofu pamoja na Rais kwa kuridhiana. Dhidi ya waliyoyatamka.
Nimefurah kukubaliana yakuwa
1. Wakuu wa VYOMBO VYA majeshi wote wawajibike au wawajibishwe na mamlaka zilizo wateua ambazo ni Rais mwenyewe so nategemea Leo au kesho mkeka utatoka mpya.
2. Walitenda maovu au kuua WATANZANIA wachukuliwe HATUA.
3. Katiba mpya ipatikane.
4. Waliopoteza ndugu wafidiwe
5. Walio kamatwa na kuswekwa magereza waachiliwe hapa BILA shaka ni Tundu Lissu
Maazimio yapo 8 nimeyakumbuka HAYA kwa haraka
Ushauri wangu ni huu!
Kwa kuwa
Dr Emanuel Nchimbi alishauri WATANZANIA tupambanie katiba mpya na kwa kuwa Samia HAYA maazimio na yeye alilidhia Mababa Askofu watusomee basi iwe hivi
Mababa Askofu. Sisi wakatoliki mkiisha amua nyie sisi hatupingi na kwa kuwa kila mkoa una Askofu tafadhali tunaomba mtuandalie maandamano ya Amani ya kudai katiba mpya
Pili nakuomba Samia suluhu Hassani ungana na ccm wenzako NANYI muandamane tudai katiba.
Mimi.nipo.na Askofu Minde tafadhali andiko ili ulione kwenye Jarada