Tusiharakishe mambo, TEC imejaa wasomi wa kweli na daima wasomi wa kweli huwa hawapelekeshwi na mihemko ya watu
Kama waliyojadiliana yanafaa kuja kwa public watayaleta, na kama ni mambo yaliyopaswa kubaki ndani hamtakaa mjue walichoongea
Hiyo ndio sifa ya wasomi wa kweli ukiwaondoa wale wa majalalani