MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Baada ya tarehe 29 wafuasi wa Mange watakutana na hasira kali za dada kutoka Marekani.
Wataoga matusi ya nguoni toka kwa kiongozi wao Mange. Sababu kuu itakuwa ni wao kujitokeza kuandamana kama wanavyodanganyana sasa.
Ikumbukwe Mange ana uzoefu mkubwa wa kumtukana yeyote. Huwa haangalii umri, dini, kabila, ulemavu wala chochote akiamua kumdhalilisha mtu.
List ya wahanga wa udhalilishaji wa Mange ni ndefu mno. Mange hana uhalali wa kimaadili kuwa kiongozi wa kundi lolote. Ila kwa sababu anaongoza nyumbu anafaa.
Mimi ni mtu mwema ndo maana nimeamua kuandika huu uzi kuwasidia nyumbu kujiandaa kisaikolojia. Hata kama hawana akili bado nyumbu ni watanzania wenzetu.