Baada ya tarehe 29 wafuasi wa Mange wajiandae kutukanwa na kudhalilishwa na kiongozi wao

Atutukane,tena atutukane kweli kweli, akiweza atuchape viboko.
Tutakua tunastahili kabisaaa tusipotoka hiyo tar 29.
 
Baada ya tarehe 29 wafuasi wa Mange watakutana na hasira kali za dada kutoka Marekani.

Wataoga matusi ya nguoni toka kwa kiongozi wao Mange. Sababu kuu itakuwa ni wao kujitokeza kuandamana kama wanavyodanganyana sasa.

Ikumbukwe Mange ana uzoefu mkubwa wa kumtukana yeyote. Huwa haangalii umri, dini, kabila, ulemavu wala chochote akiamua kumdhalilisha mtu.

List ya wahanga wa udhalilishaji wa Mange ni ndefu mno. Mange hana uhalali wa kimaadili kuwa kiongozi wa kundi lolote. Ila kwa sababu anaongoza nyumbu anafaa.

Mimi ni mtu mwema ndo maana nimeamua kuandika huu uzi kuwasidia nyumbu kujiandaa kisaikolojia. Hata kama hawana akili bado nyumbu ni watanzania wenzetu.
Hofu huzaa uchawa
 
We ni takataka tu, ngoja Tarehe 29.10.2025 Ili uone moto wake
 
Jiandae kutukanwa na kiongozi wako Mange. Mimi ni mtu mwema ndo maana nimeamua kuwaandaa kisaikolojia.
Na wewe utatukanwa tu kwasababu ni mtanzania. Mange huwa anatukana watanzania wote, ujifanye sio mfuatiliaji wake au mfuatiliaji wake utatukanwa. Anatukana wanao muhusu na wasio muhusu. Ukitaka ujulikane hutukanwi na Mange anza kuvaa lebo mgongoni kwamba wewe sio mfuasi wa Mange lakini ya kujisemea moyoni kwamba humkubali Mange matusi yatakuhusu pia.
 
Baada ya tarehe 29 wafuasi wa Mange watakutana na hasira kali za dada kutoka Marekani.

Wataoga matusi ya nguoni toka kwa kiongozi wao Mange. Sababu kuu itakuwa ni wao kujitokeza kuandamana kama wanavyodanganyana sasa.

Ikumbukwe Mange ana uzoefu mkubwa wa kumtukana yeyote. Huwa haangalii umri, dini, kabila, ulemavu wala chochote akiamua kumdhalilisha mtu.

List ya wahanga wa udhalilishaji wa Mange ni ndefu mno. Mange hana uhalali wa kimaadili kuwa kiongozi wa kundi lolote. Ila kwa sababu anaongoza nyumbu anafaa.

Mimi ni mtu mwema ndo maana nimeamua kuandika huu uzi kuwasidia nyumbu kujiandaa kisaikolojia. Hata kama hawana akili bado nyumbu ni watanzania wenzetu.
Inawezekana kabisa. Mange sio wa kumuamini hata kwa sekunde mbili.

Kama alimkimbilia Samia wakati akiwa marekani akapiga naye picha halafu akamgeuka. Hashindwi kuwageuka wafuasi wa cdm
 
Back
Top Bottom