Baada ya Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Simba SC kutangazwa, tegemeeni Simba SC Kushinda mfululizo hadi January 2023

Baada ya Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Simba SC kutangazwa, tegemeeni Simba SC Kushinda mfululizo hadi January 2023

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote.

Ni kwamba karibu Wagombea Wote (Watamani Uongozi ndani ya Simba SC) ndiyo wamekuwa Wasaliti Wakuu wa Matokeo ya Kusuasua ya Simba SC katika NBC Premier League kwa sasa ndiyo hao hao sasa watakuwa Wanapigana Vikumbo kwa Waganga wa Kienyeji, kwa Waamuzi na hata Wachezaji wa Timu Pinzani Kuwahonga ili Simba SC ishinde kisha Waaminike, wapewe Sifa ili January 2023 katika Uchaguzi Mkuu wapigiwe Kura, Washinde na warejee tena Kuihujumu Klabu huku Wakijilipa Pesa zao nyingi walizotumia Kushinda.

Na hapa ( kwa sasa ) nawahakikishia hata kukitokea Mechi ya Simba na Yanga tegemeeni kuona Simba SC ikishinda na Mayele kuonekana si Mali Kitu kwani Wagombea Wote ( Watia Nia ) watafanya Hujuma zozote na Umafia wowote ili Yanga SC ifungwe na Waaminiwe kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu ujao ( 2023 )

Wana Simba SC ( hasa Wapiga Kura ) kuweni makini mno katika Uchaguzi Mkuu huu ujao na msije kurejea Makosa yale yale ya Kuchagua Viongozi Wasaliti, Wahujumu na wenye Vimelea vyote vya Uyanga ila Wamepandikizwa Klabuni ( SSC ) kama huyu Mwenyekiti wa sasa wa Wanachama SSC Murtaza Mangungu kutokana na Nguvu zao za Pesa au Kusaidiwa na Matajiri Wakubwa walioko Yanga SC ili wakishinda waweze Kuwatumia katika Kutuumiza Kimatokeo.

Kazi Kwenu.
 
Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote.

Ni kwamba karibu Wagombea Wote (Watamani Uongozi ndani ya Simba SC) ndiyo wamekuwa Wasaliti Wakuu wa Matokeo

Ndio tayari
 
Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote.
aweze Kuwatumia katika Kutuumiza Kimatokeo.

Kazi Kwenu.
Kumbe kelele zote hizi hata kadi huna
 
Kwa hiyo kumbe kilio cha kwamba wachezaji wa Simba ni wabovu ni swaga tu [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom