nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,607
- 8,381
Kumbe hujaelewa.ila mimi kwa ufahamu wangu,naona kama TCRA wako sawa walivyo fanya sema viburi vya jamaa hawa ndo wametukomoa sijui sijaelewa, yani nafahamu kwamba channel zote local za ndani zilitakiwa ziwe free alafu za njee ndo ulipie kama unataka yani kama zamani tulivyo kua kwa analog ukitoa anttena yako njee unapata channel bure, ukitaka zanjee una nunua kingamuzi na kulipia ndo nilivyo kua najua mimi,sasa hivi vingamuzi famous wamegoma.
Ipo hivi, dstv na hao wengine waliofungiwa hawana kibali cha kuonyesha local chanel iwe kwa kulipia au bure.
Hapo ndo uchanganue