Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,932
- 3,406
Not necessarily, but pile of crap is also a recognizable and valid speech,Especially when crap defines your own figment of an infertile, and often crooked imagination.
Not necessarily, but pile of crap is also a recognizable and valid speech,Especially when crap defines your own figment of an infertile, and often crooked imagination.
King'amuzi gani hicho mkuu?do hivi TBC siyo local channel?. mbona wanalazimiisha kila provider kuomyesha.watu tumekuwa watumwa kwa kutazama channel za nchi nyingine.Zeeworld ya series za kiswahili ni balaa pia kuna movie channel kama trybe,ROK,epic nk. bila kusahau KTN,citizens,k24.
Wanatakiwa wakionesha local channel zile tano ziwe free lakini wakawa wanawatoza watu kinyume na utaratibu wakati visimbuzi vingine vilitii agizo hilo. Hii ilileta mkanganyiko hata kwao wenyewe kutokana na masharti ya leseni zao.Naomba kuuliza hao walala hoi wanapata hizo local channels kupitia wapi. Ikiwa karibu local areas zote Azam ndo imetawala.
Au ndo kuwatia gharama za kununua tena hizo kontinento sijui stataimz [emoji21] [emoji21] [emoji21]
Umeongea sahihi mkuu, wanabana tu kikuda ili ionekane serikali imekosea wakati tatizo lipo kwao na wanataka tusiwaone wao ndo wenye tatizo kuwa tatizo lipo tcra, huu ni ujinga, haiwezekani mwizi awe anakuibia afu akikamatwa alalamikie polisi na mhanga naye anaenda kumlalamikia polisi kwa kumkamata mwizi wakeWanatakiwa wakionesha local channel zile tano ziwe free lakini wakawa wanawatoza watu kinyume na utaratibu wakati visimbuzi vingine vilitii agizo hilo. Hii ilileta mkanganyiko hata kwao wenyewe kutokana na masharti ya leseni zao.
Nafikiri kutokana na kiburi cha hivi visimbuzi hasa vikubwa kwasasa ndio maana serikali wakaamua kutumia sheria kuwabana ikiwezekana kulipa watu fedha walizowatoza free channel kinyume cha sheria.
Lengo ni kuwarudisha kwenye mstari baada ya hivyo vingamuzi kuamua kuondoa local channel zote. Kwa ufupi hivi visimbusi vinapaswa kuonesha zile local channel zilizochaguliwa bure na kuacha kutumia mgongo wetu kuwawekea kiburi serikali.
Kama wewe unaweza kulipia kila mwezi usisahau wapo wanaolipia kwa jasho na damu ili nao wawe sehemu ya ulimwengu huu. Kwanini wasikubali kuonesha hizo channel tano bure then tusonge?
Dstv mkuuKing'amuzi gani hicho mkuu?
Sasa kama hizo chanels zitatazamwa bure kulipia, hivi kuna sababu gani mtazamaji kulipia kifurushi, na makampuni yatapataje faida kibiashara… ruhusu watu wafanye biashara na sio kulazimisha bure…. TBC ndio halali ya mlipa kodi.Nafikiri hatua za TCRA ilikuwa ni kwa faida ya walalahoi ambao sometimes kulipia hata package ndogo ni shida.
Kama kuna taratibu zilikiukwa ni vizuri tukaunga mkono hili ingawa tunakosa tv zetu pendwa. Kama local channel zile tano zitakuwa bure haitakuwa jambo dogo wakuu.
Hebu wakati mwingine tujue nini tunapaswa kusimama na serikali na wapi tukosoe. Kama ipo njia nyingine muafaka kwa serikali kuzibana hizi taasisi tushauri lakini binafsi naona itasaidia walalahoi ambao kulipia kila mwezi si rahisi.
DSTV imekuwepo bila local channel miaka yote na walikuwa wanafanya biashara. Kama waliamua kuongeza local channel kuvutia biashara na ushindani walipaswa kuziacha bure kama sheria inavyotaka.Sasa kama hizo chanels zitatazamwa bure kulipia, hivi kuna sababu gani mtazamaji kulipia kifurushi, na makampuni yatapataje faida kibiashara… ruhusu watu wafanye biashara na sio kulazimisha bure…. TBC ndio halali ya mlipa kodi.
Tatizo wabongo wengi mkono wa birika,mkipewe chaneli tano bure ndiyo hamlipi tena! Ndiyo maana jamaa nao wakabana ili mlipe!Umeongea sahihi mkuu, wanabana tu kikuda ili ionekane serikali imekosea wakati tatizo lipo kwao na wanataka tusiwaone wao ndo wenye tatizo kuwa tatizo lipo tcra, huu ni ujinga, haiwezekani mwizi awe anakuibia afu akikamatwa alalamikie polisi na mhanga naye anaenda kumlalamikia polisi kwa kumkamata mwizi wake
Nafikiri hatua za TCRA ilikuwa ni kwa faida ya walalahoi ambao sometimes kulipia hata package ndogo ni shida.
Kama kuna taratibu zilikiukwa ni vizuri tukaunga mkono hili ingawa tunakosa tv zetu pendwa. Kama local channel zile tano zitakuwa bure haitakuwa jambo dogo wakuu.
Hebu wakati mwingine tujue nini tunapaswa kusimama na serikali na wapi tukosoe. Kama ipo njia nyingine muafaka kwa serikali kuzibana hizi taasisi tushauri lakini binafsi naona itasaidia walalahoi ambao kulipia kila mwezi si rahisi.
Huo ni mtazamo wako ambao unajaribu kuuambukiza kwa wengine wenye akili za kushikiwa.Sifahamu aliyewashauri TCRA kutenda waliyoyafanya , kama ni mkono wa mtu basi kafanikiwa na hongera zake , Kiukweli pamoja na ving'amuzi vingi kubaki na TBC pekee watanzania hawataki kabisa kuangalia Channel hii , na kwa uchunguzi wangu wa valuvalu nilioufanya unaonyesha kwamba ukitaka taarifa zako zisiwafikie walengwa basi tangaza TBC 1 , bado sijafahamu hasa kisa cha watanzania kuisusia TV hii inayoendeshwa kwa kodi zao.
Lakini cha ajabu sasa Channel za Kiswahili kutoka Nairobi zikiwemo K24 , KBC , KTN NEWS zikiongozwa na KTN ndio zinazotazamwa mno na watanzania hasa wanaotumia AZAM na DSTV channels zenye watazamaji lukuki nchini Tanzania
Nachukua nafasi hii kuwashauri wafanyabiashara wenzangu kujaribu kutangaza bidhaa zao na Channels kutoka Kenya maana ndio zinazobamba hasa nchiniTanzania .
...sawa, ila wao kama serikali wangeziamuru hizo channels zioneshwe bure thru DSTV na Azam, kuliko kuwa ban moja kwa moja, na kimsingi TCRA inawatetea startimes with their poor services,Nafikiri hatua za TCRA ilikuwa ni kwa faida ya walalahoi ambao sometimes kulipia hata package ndogo ni shida.
Kama kuna taratibu zilikiukwa ni vizuri tukaunga mkono hili ingawa tunakosa tv zetu pendwa. Kama local channel zile tano zitakuwa bure haitakuwa jambo dogo wakuu.
Hebu wakati mwingine tujue nini tunapaswa kusimama na serikali na wapi tukosoe. Kama ipo njia nyingine muafaka kwa serikali kuzibana hizi taasisi tushauri lakini binafsi naona itasaidia walalahoi ambao kulipia kila mwezi si rahisi.
...mbona startimes local channels zinalipiwa na hazipo zoteila mimi kwa ufahamu wangu,naona kama TCRA wako sawa walivyo fanya sema viburi vya jamaa hawa ndo wametukomoa sijui sijaelewa, yani nafahamu kwamba channel zote local za ndani zilitakiwa ziwe free alafu za njee ndo ulipie kama unataka yani kama zamani tulivyo kua kwa analog ukitoa anttena yako njee unapata channel bure, ukitaka zanjee una nunua kingamuzi na kulipia ndo nilivyo kua najua mimi,sasa hivi vingamuzi famous wamegoma.
...trueNi kweli, wenye Dstv wamehamia Kenya!
Maisha Magic East
Maisha Magic Bongo
Citizen Tv
KTN
plus M-Net Movies n.k
Siyo kweli!Sifahamu aliyewashauri TCRA kutenda waliyoyafanya , kama ni mkono wa mtu basi kafanikiwa na hongera zake , Kiukweli pamoja na ving'amuzi vingi kubaki na TBC pekee watanzania hawataki kabisa kuangalia Channel hii , na kwa uchunguzi wangu wa valuvalu nilioufanya unaonyesha kwamba ukitaka taarifa zako zisiwafikie walengwa basi tangaza TBC 1 , bado sijafahamu hasa kisa cha watanzania kuisusia TV hii inayoendeshwa kwa kodi zao.