Kumbe hujaelewa.ila mimi kwa ufahamu wangu,naona kama TCRA wako sawa walivyo fanya sema viburi vya jamaa hawa ndo wametukomoa sijui sijaelewa, yani nafahamu kwamba channel zote local za ndani zilitakiwa ziwe free alafu za njee ndo ulipie kama unataka yani kama zamani tulivyo kua kwa analog ukitoa anttena yako njee unapata channel bure, ukitaka zanjee una nunua kingamuzi na kulipia ndo nilivyo kua najua mimi,sasa hivi vingamuzi famous wamegoma.
Sasa wanaotakiwa kukunjurua makucha ni wenye visimbusi ama tcra?Ndo hivyo mkuu, channel za ndani zote free, ni kiburi tu cha wenye visimbusi wala sio effect ya tcra, tuwalaumu wenye visimbusi jamani kwa kuvunja mkataba wao sio tcra
TCRA kazi yao ni kusimamia sheria, mwenye kisimbus anaamua aweke au asiweke stesheni, hana ulazima wa kuweka stesheni, anaweza akaamua aweke za nje tupu bila kuvunja maadili ya nchi, TCRA haitamlazimisha kuweka za ndani maana ni biashara huria, ila pale itakapoamua kuweka za ndani basi itasimamiwa iwe free of charge na sheria zingine zitazosimamiwa na tcra, hivyo basi tatizo lipo kwa wenye visimbusiSasa wanaotakiwa kukunjurua makucha ni wenye visimbusi ama tcra?
Kama wenye visimbusi wameotesha sharubu na tcra hawajali kukazia amri yao, ni nani alaumiwe?
Sasa wanaotakiwa kukunjurua makucha ni wenye visimbusi ama tcra?
Kama wenye visimbusi wameotesha sharubu na tcra hawajali kukazia amri yao, ni nani alaumiwe?
Hayo ndo yalikuwa makubaliano, usijitoe ufaham mkuu, tv za ndani zilikuwa free, mi mwenyewe nilivitupa vingamuzi huko jalalani baada ya kuanza kulipia hadi itvUkisema kiburi cha wenye visimbusi nakataa maan mwanzo walikua wanatuonesha TCRA wakawandikia barua zakuwazuia na kuahidi kuwatoza fine wakiendelea kuonesha other wise walipie vibali vyakuinesha chanell za ndani bure.. Hapo sasa yaani nipange frame nifungue duka mwenye frame atake nimpatie kisehem na yeye aweke bidhaa zake kwangu tena bure kabisa..
Hadi majina mmsheanza kuyafahamKTN kuna mtoto mmoja anaitwa betty kyalo..matata sana
Nyumbu mnafarijiana!Ubarikiwe sana mkuu , hujakosea .
[emoji122][emoji122][emoji122]mkuu umetoa mfano mzuri sanaUkisema kiburi cha wenye visimbusi nakataa maan mwanzo walikua wanatuonesha TCRA wakawandikia barua zakuwazuia na kuahidi kuwatoza fine wakiendelea kuonesha other wise walipie vibali vyakuinesha chanell za ndani bure.. Hapo sasa yaani nipange frame nifungue duka mwenye frame atake nimpatie kisehem na yeye aweke bidhaa zake kwangu tena bure kabisa..
Citizen ndiyo kutoka na quality Mzuri ya reportingMimi naangalia CITIZEN, maisha magic east, discovery, nat Geo wild na movies
Ulitaka uendelee kulipa stesheni ulizokuwa unaangalia free hapo zamani?Mimi sasa kidogo nina wasiwasi na elimu yetu sio bora maana maamuzi yanayofanywa na wasomi wetu hakuna tofauti na darasa la saba
TCRA wametoa leseni za aina mbili za ving'amuzi kwa ajili ya kuwahudimia watanzania
Kwa hiyo mwananchi una uwamuzi utumie king'amuzi cha bure yani startimes,tin au continatal au utumie king'amuzi cha kulipia kama azam,dstv au zuku cha ajabu wewe mwananchi uliyoamua kutumia king'amuzi cha kulipia hautuhusiwi kuona local channel Nina ukakika 100% mambo haya yanapatika Tanzania tu
Naomba kuuliza hao walala hoi wanapata hizo local channels kupitia wapi. Ikiwa karibu local areas zote Azam ndo imetawala.Nafikiri hatua za TCRA ilikuwa ni kwa faida ya walalahoi ambao sometimes kulipia hata package ndogo ni shida. Kama kuna taratibu zilikiukwa ni vizuri tukaunga mkono hili ingawa tunakosa tv zetu pendwa. Kama local channel zile tano zitakuwa bure haitakuwa jambo dogo wakuu. Hebu wakati mwingine tujue nini tunapaswa kusimama na serikali na wapi tukosoe. Kama ipo njia nyingine muafaka kwa serikali kuzibana hizi taasisi tushauri lakini binafsi naona itasaidia walalahoi ambao kulipia kila mwezi si rahisi.