Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
Zinapaswa kuwa bure...ile unayolipia ni kwa ajili ya channel zile zingine ila zile "local channel" hata kama kifurushi kitaisha zenyewe hazitaki kukataKwani hao Srattimes local channels ni za bure?
sio wao ndo vimekataa ndo vika katazwa? anyway asante mkuu kwa kunielewesha vizuri.Umeelewa kinyume mkuu! Vingamuzi vya Azam,Dstv na zuku HAVIRUHUSIWI kuonesha chaneli za ndani!! Hata ukilipia milioni bado hutaona chaneli nyingine zaidi ya Tbc! Grasp that!
basi kuna tatizo wacheki tcra wana namba zao za malalamiko dhidi ya jamaaWanaposema channels za bure mimi hata sielewi, maana jana tu, kifurushi cha Star times kiliisha. Channels zote hizo wanazozitambia kuwa ni za bure, wameziondoa: ITV, CHANNEL 10, CLOUDS, STAR TV, TBC, WASAFI, nk. Ubure huo tunaoimbiwa kila siku uko wapi?
na mimi nilikua najua hivyo, yani nikiasi tuh wao wana switch channel kwamba hizi na hizi ni bure basi.ila wanabana zote, dawa kuwafutia leseni tuh.Ndo hivyo mkuu, channel za ndani zote free, ni kiburi tu cha wenye visimbusi wala sio effect ya tcra, tuwalaumu wenye visimbusi jamani kwa kuvunja mkataba wao sio tcra
Kifurushi cha bomba hikiMimi naangalia CITIZEN, maisha magic east, discovery, nat Geo wild na movies
Hiki compact n.kNi kweli, wenye Dstv wamehamia Kenya!
Maisha Magic East
Maisha Magic Bongo
Citizen Tv
KTN
plus M-Net Movies n.k
Nafikiri hatua za TCRA ilikuwa ni kwa faida ya walalahoi ambao sometimes kulipia hata package ndogo ni shida.
Kama kuna taratibu zilikiukwa ni vizuri tukaunga mkono hili ingawa tunakosa tv zetu pendwa. Kama local channel zile tano zitakuwa bure haitakuwa jambo dogo wakuu.
Hebu wakati mwingine tujue nini tunapaswa kusimama na serikali na wapi tukosoe. Kama ipo njia nyingine muafaka kwa serikali kuzibana hizi taasisi tushauri lakini binafsi naona itasaidia walalahoi ambao kulipia kila mwezi si rahisi.
Hewaaala,hapa tuko wote.Ukiona nawasha tv ujue naangalia mpira ukiisha nazma nasepa zangu
Sasa hiyo itv, star tv etc ingekuwa kweli ni kusaidia walalahoi mngezuia wasiangalie?Nafikiri hatua za TCRA ilikuwa ni kwa faida ya walalahoi ambao sometimes kulipia hata package ndogo ni shida.
Kama kuna taratibu zilikiukwa ni vizuri tukaunga mkono hili ingawa tunakosa tv zetu pendwa. Kama local channel zile tano zitakuwa bure haitakuwa jambo dogo wakuu.
Hebu wakati mwingine tujue nini tunapaswa kusimama na serikali na wapi tukosoe. Kama ipo njia nyingine muafaka kwa serikali kuzibana hizi taasisi tushauri lakini binafsi naona itasaidia walalahoi ambao kulipia kila mwezi si rahisi.
Hivi yule dada ya Clouds 360 Cabae bado yupo pamoja na Sam Sashali na Hassan ngoma....siku nyingi sana sijaangalia mastory ya tauni.
Nilikuwa napenda sana ucheshi wao na udaku wa mjini.....
Nyumbani natumia Dstv kazini Azam hivyo siwapati kabisa...
Siku hizi badala ya 360 nasikiliza Moning Magic ya akina Kibwana Dachi.
Duuh kwani utafiti unahoji 100% ? Wanachukua sample tuu , ambayo wewe hukuwepo.Utafiti wako umeufanya kutoka wapi, usitujaze maneno, mbona mi hizo sijawah kuziangalia, nacheki fox, natgeo channel, bbc, na zingine za kizungu, je utasema mi sihusiki kwenye utafiti huo
haswaaaKunahiz channel mbili No. 160 na 158 hakika zimewakamata wapenda maigizo
Bora wamezitoa hizo local chanel mana kama wangezifanya zote ziwe za bure tusingelipia ving'amuzi maisha yote [emoji23]
Sampo zenu zinalenga kukonga nyoyo yenu tu so ziko biasedDuuh kwani utafiti unahoji 100% ? Wanachukua sample tuu , ambayo wewe hukuwepo.
Sasa hayo makampuni yatajiendesha vipi maana mtu anaweza kukaa miezi hata mi5 hajalipia cz kuna free local channelsNafikiri hatua za TCRA ilikuwa ni kwa faida ya walalahoi ambao sometimes kulipia hata package ndogo ni shida.
Kama kuna taratibu zilikiukwa ni vizuri tukaunga mkono hili ingawa tunakosa tv zetu pendwa. Kama local channel zile tano zitakuwa bure haitakuwa jambo dogo wakuu.
Hebu wakati mwingine tujue nini tunapaswa kusimama na serikali na wapi tukosoe. Kama ipo njia nyingine muafaka kwa serikali kuzibana hizi taasisi tushauri lakini binafsi naona itasaidia walalahoi ambao kulipia kila mwezi si rahisi.
Siyo kweli!Unalipa ili kupata channel za ziada